Hajji Manara ndoa kwake ni biashara japo watu hawajamshtukia .

Knock life

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
2,465
Reaction score
7,764
Huyu jamaa anajiita Manara anaoa kwa lengo la kujipatia pesa Ila sio ili akae na mwanamke .

Naomba wadau kuanzia Gsm, wasafi na serikali msinchangie tena Manara

Endapo akitaka kuoa mwambieni afunge ndoa ya kienyeji asimsumbue mtu
 
Na pia anaitumia hiyo ndoa kutrend mitandani kupata followers halafu anapiga hela tena.
Anaishi kwa ujanjaujanja sana yule jamaa.
 
Huyu jamaa anajiita Manara anaoa kwa lengo la kujipatia pesa Ila sio ili akae na mwanamke .

Naomba wadau kuanzia Gsm, wasafi na serikali msinchangie tena Manara

Endapo akitaka kuoa mwambieni afunge ndoa ya kienyeji asimsumbue mtu
Ila anaoa na kukojolea pazuri kama yule rusayna kuliko nyie maskini wa JF.

Anajua kupoitn visu na mzee anakojolea pazuri bwana. Nyie maskini wa JF tafuteni pesa. 😃😃😃😃
 
Hawa mkataba wao uliisha tangia mwezi wa 2 mwaka huu sema walikuwa wanazuga tu.
 
Ila anaoa na kukojolea pazuri kama yule rusayna kuliko nyie maskini wa JF.

Anajua kupoitn visu na mzee anakojolea pazuri bwana. Nyie maskini wa JF tafuteni pesa. 😃😃😃😃
Kwa mujibu wa yeye mwenyewe kula bao alikuwa akichajiwa 400,000 na huyu twiga
Twiga nae anasema hadindishi
 
Back
Top Bottom