Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Na pia anaitumia hiyo ndoa kutrend mitandani kupata followers halafu anapiga hela tena.Huyu jamaa anajiita Manara anaoa kwa lengo la kujipatia pesa Ila sio ili akae na mwanamke .
Naomba wadau kuanzia Gsm, wasafi na serikali msinchangie tena Manara
Endapo akitaka kuoa mwambieni afunge ndoa ya kienyeji asimsumbue mtu
Ndoa ya mkeka tu inatoshaEndapo akitaka kuoa mwambieni afunge ndoa ya kienyeji asimsumbue mtu
Anapataje hela kwa kuoa?Huyu jamaa anajiita Manara anaoa kwa lengo la kujipatia pesa Ila sio ili akae na mwanamke .
Naomba wadau kuanzia Gsm, wasafi na serikali msinchangie tena Manara
Endapo akitaka kuoa mwambieni afunge ndoa ya kienyeji asimsumbue mtu
Ila anaoa na kukojolea pazuri kama yule rusayna kuliko nyie maskini wa JF.Huyu jamaa anajiita Manara anaoa kwa lengo la kujipatia pesa Ila sio ili akae na mwanamke .
Naomba wadau kuanzia Gsm, wasafi na serikali msinchangie tena Manara
Endapo akitaka kuoa mwambieni afunge ndoa ya kienyeji asimsumbue mtu
Manara anawachezea Hisia na Takoz, Hapo Zay beki hazikabi..Mfanyabiashara wa ndoa '''MANARA''
Anachezea sana hisia za wadada kwa maslahi yake binafsi
Kwa mujibu wa yeye mwenyewe kula bao alikuwa akichajiwa 400,000 na huyu twigaIla anaoa na kukojolea pazuri kama yule rusayna kuliko nyie maskini wa JF.
Anajua kupoitn visu na mzee anakojolea pazuri bwana. Nyie maskini wa JF tafuteni pesa. ππππ