Haka ka Ally Kamwe kanatusaliti: Yanga ipo tayari kucheza na Simba Derby

Haka ka Ally Kamwe kanatusaliti: Yanga ipo tayari kucheza na Simba Derby

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Naona ameona ujinga wake umeshafahamika. Haka kadogo hakana msimamo kabisa. Sasa hizi jersey zetu za hatuchezi tutazifanyaje? Kameshaanza kulegeza. Simba hawatajibu huo upuuzi.
Screenshot_2025-05-11-09-19-54-546_com.instagram.android.jpg
 
Utopolo kelele nyingi msimamo sifuri. Eti hatuchezi kiko wapi sasa?
 
Hatuchezi,hatuchezi, hatuchezi alisikika topolo moja lenye njaa kali na kiu likipiga myayo likiwa halina matumaini ya kesho yake.
 
Naona ameona ujinga wake umeshafahamika. Haka kadogo hakana msimamo kabisa. Sasa hizi jersey zetu za hatuchezi tutazifanyaje? Kameshaanza kulegeza. Simba hawatajibu huo upuuzi.
View attachment 3330621
Naunga mkono hoja. Huwezi ukakimbia mechi kwa sababu eti mabaunsa wamekuzuia kufanya mazoezi ya mwisho! Hii ni sababu ya kitoto. Unawaingiza watu hasara kwa sababu tu ya utoto wako.
 
Naunga mkono hoja. Huwezi ukakimbia mechi kwa sababu eti mabaunsa wamekuzuia kufanya mazoezi ya mwisho! Hii ni sababu ya kitoto. Unawaingiza watu hasara kwa sababu tu ya utoto wako.
Kwahiyo mnacheza au hamchezi
 
Toa kwanza sababu ya kukimbia mechi ya tarehe 8
Mnabweka hapa kama mambwa tarehe 15 june mtacheza hata kwa viboko pumbavu nyie mnataka kutuchezea akili.

Yani nyie nisawa na demu aliyeingia geto halafu anazuga hataki kuliwa mwisho wa siku tunaona manyoya tu.
 
Back
Top Bottom