Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Nani alikwambia Yanga ina wawili wenye akili?Mtu mmeambiwa Yanga wenye akili wawili tu basi sasa utashangaa leo??
Nani alikwambia Yanga ina wawili wenye akili?Mtu mmeambiwa Yanga wenye akili wawili tu basi sasa utashangaa leo??
Yes. Nipo Mburahat napiga kazi mi mwanaume. Na yeye ametumwa jikoni akapike. Upo sahihi. Mpo wote unamsaidia kukuna nazi?Huyo yupo jikoni anatumwa na menejiment wewe upo Mburahati
Si anamsema msemaji wetu manaraNani alikwambia Yanga ina wawili wenye akili?
Tutawafumua hamtaamini 💚💚💚💛🖤🖤🖤💪💪🕺
Endeleeni na wimbo wenu wa hamchezi. Hizi habari za kufumua zimekujaje tena!Tutawafumua hamtaamini 💚💚💚💛🖤🖤🖤💪💪🕺