Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,686 Reaction score 46,842 May 11, 2025 #21 Uhuru24 said: Mtu mmeambiwa Yanga wenye akili wawili tu basi sasa utashangaa leo?? Click to expand... Nani alikwambia Yanga ina wawili wenye akili?
Uhuru24 said: Mtu mmeambiwa Yanga wenye akili wawili tu basi sasa utashangaa leo?? Click to expand... Nani alikwambia Yanga ina wawili wenye akili?
Chizi Maarifa JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 14,762 Reaction score 32,386 May 11, 2025 Thread starter #22 Inside10 said: Huyo yupo jikoni anatumwa na menejiment wewe upo Mburahati Click to expand... Yes. Nipo Mburahat napiga kazi mi mwanaume. Na yeye ametumwa jikoni akapike. Upo sahihi. Mpo wote unamsaidia kukuna nazi?
Inside10 said: Huyo yupo jikoni anatumwa na menejiment wewe upo Mburahati Click to expand... Yes. Nipo Mburahat napiga kazi mi mwanaume. Na yeye ametumwa jikoni akapike. Upo sahihi. Mpo wote unamsaidia kukuna nazi?
Chizi Maarifa JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 14,762 Reaction score 32,386 May 11, 2025 Thread starter #23 Frank Wanjiru said: Nani alikwambia Yanga ina wawili wenye akili? Click to expand... Si anamsema msemaji wetu manara
Frank Wanjiru said: Nani alikwambia Yanga ina wawili wenye akili? Click to expand... Si anamsema msemaji wetu manara
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,495 Reaction score 185,562 May 11, 2025 #24 Smart911 said: Yagangwe yajayo... Cc: Mahondaw Click to expand... Tutawafumua hamtaamini πππππ€π€π€πͺπͺπΊ
Smart911 said: Yagangwe yajayo... Cc: Mahondaw Click to expand... Tutawafumua hamtaamini πππππ€π€π€πͺπͺπΊ
T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 6,441 Reaction score 8,408 May 11, 2025 #25 Nawaonea huruma mashabiki uchwara wa Utopolo waliokuwa wamekazana "Hatuchezi hatuchezi" huku mishipa ya shingo imewakakamaa utafirikiri wao ndio viongozi wa kutoa maamuzi.
Nawaonea huruma mashabiki uchwara wa Utopolo waliokuwa wamekazana "Hatuchezi hatuchezi" huku mishipa ya shingo imewakakamaa utafirikiri wao ndio viongozi wa kutoa maamuzi.
T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 6,441 Reaction score 8,408 May 11, 2025 #26 Mahondaw said: Tutawafumua hamtaamini πππππ€π€π€πͺπͺπΊ Click to expand... Endeleeni na wimbo wenu wa hamchezi. Hizi habari za kufumua zimekujaje tena!
Mahondaw said: Tutawafumua hamtaamini πππππ€π€π€πͺπͺπΊ Click to expand... Endeleeni na wimbo wenu wa hamchezi. Hizi habari za kufumua zimekujaje tena!