Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Ni wazi mpaka sasa, mh.Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia anaongoza kwa kura za kutosha kutangazwa mshindi wa uchaguzi huo, dhidi ya wagombea urais wa miungano ya vyama na vyama ya siasa vingine nchini Zambia.
Kwa muelekeo wa matokeo ulivyo mpaka sasa, Mh.Hakainde Hichilema atapata ushindi wa 50+% kikatiba, na kuondoa kabisa uwezekano wa Re-Run election baina ya wagombea wawili wenye kura nyingi zinazokaribiana na ambao wote hawakufikisha 50+% ya kura zote za urais kwa mujibu wa katiba ya Zambia.
Blunders za upinzani Africa zinafanana kama mapacha.
Una maoni gani juu ya uchaguzi huru,wa haki na wa wazi wa Zambia?🐒
Mungu Ibariki Tanzania