Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
- Thread starter
- #21
Brian Muntayala Mundubile alijua mapema kabisa kwamba waZambia hawangemchagua kua Rais,Ukiwa na akili timami kuna vitu huwezi kuviongea hadharani kwa kuwa ni unafiki wa kiwang cha Phd.
Wanafiki huwa hawana maisha marefu.
ndipo akaanza kuropoka tu na kuisingizia Tanzania isiyohusika kabisa na maamuzi ya wananchi wa Zambia 🐒