blunders za upinzani Africa zinafanana kama mapacha πAngalau Zambia πΏπ² Tume yao ya uchaguzi ZEC ipo huru,hapa Tanzania hatuna tume,bali kuna wakala wa CCM wakiitwa viongozi wa tume, Zambia kura inapigwa inathibishwa kila kila hatua kabla ya kutangazwa na tume, na wameruhusu mgombea binafsi( Independent candidates) hii nchi imepiga hatua kwenye democracy kulinganisha na nchi yetu hii ya Tanzania bado tuko nyuma kwenye mambo mengi sana,
Mpaka sasa Hakainde Hichilema anaongoza kwa kura zaidi ya 225,000, japo mpinzani wake naye anamfuata kwa karibu kwa kura 830,000, na Hichilema ana 1,056,000,
Crap π© π© π©Ni wazi mpaka sasa, mh.Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia anaongoza kwa kura za kutosha kutangazwa mshindi wa uchaguzi huo, dhidi ya wagombea urais wa miungano ya vyama na vyama ya siasa vingine nchini Zambia.
Kwa muelekeo wa matokeo ulivyo mpaka sasa, Mh.Hakainde Hichilema atapata ushindi wa 50+% kikatiba, na kuondoa kabisa uwezekano wa Re-Run election baina ya wagombea wawili wenye kura nyingi zinazokaribiana na ambao wote hawakufikisha 50+% ya kura zote za urais kwa mujibu wa katiba ya Zambia.
Blunders za upinzani Africa zinafanana kama mapacha.
Una maoni gani juu ya uchaguzi huru,wa haki na wa wazi wa Zambia?π
Mungu Ibariki Tanzania
yaani upinzani wa Tanzania na Zambia bana,CHADEMA watalala na Viatu leo watakesha wanatukana matusi utafikiri vichaa au wendawazimu maana akili zao wanazijua wao wenyewe
Ni kweli mkuu. Kwa ile fomula yetu tuliyompa hawezi kushindwa kabisaa.Ni wazi mpaka sasa, mh.Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia anaongoza kwa kura za kutosha kutangazwa mshindi wa uchaguzi huo, dhidi ya wagombea urais wa miungano ya vyama na vyama ya siasa vingine nchini Zambia.
Kwa muelekeo wa matokeo ulivyo mpaka sasa, Mh.Hakainde Hichilema atapata ushindi wa 50+% kikatiba, na kuondoa kabisa uwezekano wa Re-Run election baina ya wagombea wawili wenye kura nyingi zinazokaribiana na ambao wote hawakufikisha 50+% ya kura zote za urais kwa mujibu wa katiba ya Zambia.
Blunders za upinzani Africa zinafanana kama mapacha.
Una maoni gani juu ya uchaguzi huru,wa haki na wa wazi wa Zambia?π
Mungu Ibariki Tanzania
Itabidi waanzishe Bendi iitwe Malalamiko Bendiyaani upinzani wa Tanzania na Zambia bana,
wakisha ona kabisa hawawezi kushinda uchaguzi,
advertise kwanza wanaanza kumtaja Mungu,
matokeo rasmi yakitangazwa na ikionekana wameshindwa vibaya sana,
wanaanza kutukana wananchi na kuwaita wajinga, huku wakiporomosha matusi mazito zaidi kwenye tume ya uchaguzi na chama kilichoshinda uchaguzi huo.
hakuna haja ya porojo jukwaani gentleman na itapendeza zaidi πNi kweli mkuu. Kwa ile fomula yetu tuliyompa hawezi kushindwa kabisaa.
Na Mundubile na genge lake wakileta za kuleta, vijana wetu wapo tayari kuwala za vichwa tu.
Ukiwa na akili timami kuna vitu huwezi kuviongea hadharani kwa kuwa ni unafiki wa kiwang cha Phd.Ni wazi mpaka sasa, mh.Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia anaongoza kwa kura za kutosha kutangazwa mshindi wa uchaguzi huo, dhidi ya wagombea urais wa miungano ya vyama na vyama ya siasa vingine nchini Zambia.
Kwa muelekeo wa matokeo ulivyo mpaka sasa, Mh.Hakainde Hichilema atapata ushindi wa 50+% kikatiba, na kuondoa kabisa uwezekano wa Re-Run election baina ya wagombea wawili wenye kura nyingi zinazokaribiana na ambao wote hawakufikisha 50+% ya kura zote za urais kwa mujibu wa katiba ya Zambia.
Blunders za upinzani Africa zinafanana kama mapacha.
Una maoni gani juu ya uchaguzi huru,wa haki na wa wazi wa Zambia?π
Mungu Ibariki Tanzania
Ni kuwaswaga hivyo hivyo kama ng'ombe Mpaka wakae kwenye mstariyaani wanajifanya wao ndio wamiliki wa malalamiko
HH anashinda. Huyu Mundubile wa CHADEMA asubiri uchaguzi ujao.