Brian Muntayala Mundubile alijua mapema kabisa kwamba waZambia hawangemchagua kua Rais,Ukiwa na akili timami kuna vitu huwezi kuviongea hadharani kwa kuwa ni unafiki wa kiwang cha Phd.
Wanafiki huwa hawana maisha marefu.
Jizi na lipenda rushwa limekazana kuchangiaNi wazi mpaka sasa, mh.Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia anaongoza kwa kura za kutosha kutangazwa mshindi wa uchaguzi huo, dhidi ya wagombea urais wa miungano ya vyama na vyama ya siasa vingine nchini Zambia.
Kwa muelekeo wa matokeo ulivyo mpaka sasa, Mh.Hakainde Hichilema atapata ushindi wa 50+% kikatiba, na kuondoa kabisa uwezekano wa Re-Run election baina ya wagombea wawili wenye kura nyingi zinazokaribiana na ambao wote hawakufikisha 50+% ya kura zote za urais kwa mujibu wa katiba ya Zambia.
Blunders za upinzani Africa zinafanana kama mapacha.
Una maoni gani juu ya uchaguzi huru,wa haki na wa wazi wa Zambia?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Atleast huko kuna election na sio selectionNi wazi mpaka sasa, mh.Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia anaongoza kwa kura za kutosha kutangazwa mshindi wa uchaguzi huo, dhidi ya wagombea urais wa miungano ya vyama na vyama ya siasa vingine nchini Zambia.
Kwa muelekeo wa matokeo ulivyo mpaka sasa, Mh.Hakainde Hichilema atapata ushindi wa 50+% kikatiba, na kuondoa kabisa uwezekano wa Re-Run election baina ya wagombea wawili wenye kura nyingi zinazokaribiana na ambao wote hawakufikisha 50+% ya kura zote za urais kwa mujibu wa katiba ya Zambia.
Blunders za upinzani Africa zinafanana kama mapacha.
Una maoni gani juu ya uchaguzi huru,wa haki na wa wazi wa Zambia?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Mimi sijataja nchikulioni Brian Muntayala Mundubile kiongozi wa upinzani Zambia alikua akipiga mayowe baada ya kuona ameshindwa uchaguzi huo?
tofauti iko wapi dhidi ya wapinzani wa Tanzania?🐒
Acha ujinga huo. Hapa ni ''NO reform No election''. Sijashiriki uchaguzi halafu NIMEIBIWA kura. Umeibiiwa kura zipi sasa?Zambia Lisu na Mpina wao wanashiriki sio hapa kwetu muda kama huu mmoja yupo ndani mwingine kawekewa mapingamizi
CHADEMA mara zote huwa wanakaa upande wa kushindwa.chadema walidai eti huyo Mandubile alikua ameshinda uchaguzi wakati hata kura zilikua hazijahesabiwa 🐒
Kwani wewe ni mzambia ?? AU ni msimamizi wa kura huko Zambia? Au ndiye mamluki aliyelalamjkiwa ?Ni wazi mpaka sasa, mh.Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia anaongoza kwa kura za kutosha kutangazwa mshindi wa uchaguzi huo, dhidi ya wagombea urais wa miungano ya vyama na vyama ya siasa vingine nchini Zambia.
Kwa muelekeo wa matokeo ulivyo mpaka sasa, Mh.Hakainde Hichilema atapata ushindi wa 50+% kikatiba, na kuondoa kabisa uwezekano wa Re-Run election baina ya wagombea wawili wenye kura nyingi zinazokaribiana na ambao wote hawakufikisha 50+% ya kura zote za urais kwa mujibu wa katiba ya Zambia.
Blunders za upinzani Africa zinafanana kama mapacha.
Una maoni gani juu ya uchaguzi huru,wa haki na wa wazi wa Zambia?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Wewe Shangazi chawa hebu pikia wanao achana na wanaumeAcha ujinga huo. Hapa ni ''NO reform No election''. Sijashiriki uchaguzi halafu NIMEIBIWA kura. Umeibiiwa kura zipi sasa?
na ni muhimu sana kuwaswaga kama nguruwe 🤣
Hadi akili iwakae sawana ni muhimu sana kuwaswaga kama nguruwe 🤣
Hawezi kukujbu maana unaweza kuta kachanganyikiwa tayarihivi Brian Muntayala Mundubile yuko wapi kwanza?🤣