Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ATOKE MARA NGAPI?hakimu si ndugu na dully?si amuombe kaka ake amsaidie kutoka?!!
kiufupi watu wanataka kiba aishi maisha flani wanayotaka wao lakini kiba ana maisha yake alochagua kuishi.. watu wanaona ana roho mbayakijana em fafanua hapo....umemlenga nani?
Utaolewa wewe tafuta vyako unasubiri washkaji watoke na wewe ubambie so ushoga huo?Kiba anaroho mbaya ndomana jama zake otee hawanaga kitu
kashasahaulika....ss wa longi ndo tunamjua....!!!ATOKE MARA NGAPI?
Hongereni sana.
Obama kampongeza Trump unanishangaa mimi kumpongeza AK khaaa!!!
two faces...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Geni kusema kweli mimi pia simuamini huyu [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Team kiba bhana!!two faces...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Team kiba bhana!!
Sasa hata pongezi asipewe wakat kashinda!!
Na nyie mmezid kulalamika sasa
Simchukii AK ila pia simuweki juu ya diamond atabaki kuwa namba inayofuata kutoka kwa domo bhaac!.
Balozi wa nyumba kumi huku kwetu NyamilanganoNdio nani huyu?
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa
Balozi wa nyumba kumi huku kwetu NyamilanganoHakeem 5 ndio nani?
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Jamaa anajiskia vibaya AK kapata tunzo, sasa hataki kuionyesha sura yake. Anasifia huku roho inamuuma[emoji125]
Ukipigwa mimi simo sikutetei[emoji1] [emoji1][emoji23] ashafulia
Tena rangi ya maji.aipake rangi iwe nzuri......
.