Hakeem 5: Ali kiba ana roho mbaya, siwezi kumuomba msamaha

Hakeem 5: Ali kiba ana roho mbaya, siwezi kumuomba msamaha

Kiki tu hiyo hakuna lolote...Wamekaa huko wamepanga wakaona hiyo ndio njia pekee ya wao kutoka...

Kiki imebuma tumewashtukia
 
hawa wasanii its high time apatikane mtu wa kupatanisha. hawawezi kuendelea hivi. ili wasonge mbele ni vyema kupatana. Clouds and EFM naona ndio wanaweza kua wasuluhishi wazuri. Clouds wapatane na Jaydee, Diamond apatane na Kiba, Hakeem nae wapatatishwe na Kiba. Najua tu ugomvi wa Jaydee na Clouds lakini the rest sijui shida ni nini. Lakini ugomvi wowote hupatanishwa. Waligombana Lwambo na Tabuley na wakapatana na kutoa wimbo wa pamoja "Ngungi" itakua hawa vidampa jamani. This is too much...!! Itapendeza sana kama Diamond na Kiba watafanya colabo itakua nzuri sana maana mimi wote nawakubali.
 
Back
Top Bottom