Haki Hupiganiwa na Kulindwa, Haiombwi

Kifo cha Yesu ndio kilikuwa lazima kitokee lakin huku kuandamana kwetu si lazima. Hivyo matarajio ya hicho mnachotaka kitokee mnaweza kubadil njia ya kip kifanyike bila kuleta mazara kwa wengine
 
Kifo cha Yesu ndio kilikuwa lazima kitokee lakin huku kuandamana kwetu si lazima. Hivyo matarajio ya hicho mnachotaka kitokee mnaweza kubadil njia ya kip kifanyike bila kuleta mazara kwa wengine
Huo ulazima nani anaamua?! Hata mauaji ya Yesu yalipingwa, baadaye ndio walifahamu ulazima wa kifo chake.
Kwasasa acha waandamane, mtafahamu umuhimu wa maandamano hayo baadaye!
 
Kupata haki si lelemama
Lazima uisumbukie
Lazima gharama itumike
Lazima ufanye kitu
 
Huo ulazima nani anaamua?! Hata mauaji ya Yesu yalipingwa, baadaye ndio walifahamu ulazima wa kifo chake.
Kwasasa acha waandamane, mtafahamu umuhimu wa maandamano hayo baadaye!
Hayo maandamano ikifika 2025 mtumie wingi huo huo kupiga kura sio ushabiki mitandao maana mitandaoni mko vizuri lakini kwenye sanduku la kura hamuendi kupiga.
 
Duniani ukijua kutetea hoja yako raha sana ila kama unakuja na hoja ambayo huwezi kuitetea wajanja huwa tunaiita ya kipuuzi.

Waliowahi kufanya utafiti wowote basi kuna siku unapowasilisha utapewa mda wa kutetea tafiti yako. Ila kama huwezi kutetea basi huwa tunaita na lugha za msaka tonge.

Niseme two wazi if u want peace u need to be prepared for the war.

Tanzania tunahitaji amani ya roho na mwili hivyo maandamano hayazuiliki
 
Mtu aliye na uchungu moyoni huonge kweli yake ndio, ila mtu aliye na busara hawezi ongea lugha ya kuudhi ama matusi. Maana anajua kujielezea bila kumkwaza mtu.
Yaonekana unapenda kusikia unayoyapenda tu.Jifunze kusikia na kukubaliana kutokukubaliana.
 
Hauwez tafuta amani huku unajiandaa kwa vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…