Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani nchi za urusi, korea, USA kwa nn kila siku wanatengeneza silaha za kivita kama sio wanahitaji amani hivyo ili kuepusha amani yao isipoteee lazima wajiandae kwa vita maana mataifa yenye vita hawafrahii amani ya taifa jingine.Hauwez tafuta amani huku unajiandaa kwa vita.
Wanatafuta PESA TUUnadhani nchi za urusi, korea, USA kwa nn kila siku wanatengeneza silaha za kivita kama sio wanahitaji amani hivyo ili kuepusha amani yao isipoteee lazima wajiandae kwa vita maana mataifa yenye vita hawafrahii amani ya taifa jingine.
Mtawala uhukumiwa na Mwenye Enzi Mungu mwenyewe!Mhubiri 5; liko baa nililoliona chini ya jua ,nalo ni kama kosa litokalo kwake yeye mtawala
Na hivyo ndivyo alivyo maisha yake!Sijaona tatizo na sijabagua mtu so mimi nimeosha mikono yangu ila kama bado kuna tatizo nadhani shida itakuwa kwako!
Nchi hizo zinaongoza kwa black market trade yani ukiangalia nchi wanazopigana wana uza silaha hatari... Ila wanatupaka mafuta wanatafuta amani. Amani hata siku moja haitafutwi kwa vita maana itazaa visasi.Unadhani nchi za urusi, korea, USA kwa nn kila siku wanatengeneza silaha za kivita kama sio wanahitaji amani hivyo ili kuepusha amani yao isipoteee lazima wajiandae kwa vita maana mataifa yenye vita hawafrahii amani ya taifa jingine.
Duh!Nchi hizo zinaongoza kwa black market trade yani ukiangalia nchi wanazopigana wana uza silaha hatari... Ila wanatupaka mafuta wanatafuta amani. Amani hata siku moja haitafutwi kwa vita maana itazaa visasi.
Kuwanyima wagombea fomu au kugomea kuzipokea na wizi wa kura si miongoni mwa tunu za Taifa letu.Demokrasia ina mipaka yake
Nchi yetu inatunu zake,viongozi wasiruhusu watu wachache wenye tamaa za kushika madaraka kwa njia za mkato waharibu Amani yetu
Eeenh, unaji'enjoy' eti? Tamba mkuu, ni wakati wenu huu!Demokrasia ina mipaka yake
Nchi yetu inatunu zake,viongozi wasiruhusu watu wachache wenye tamaa za kushika madaraka kwa njia za mkato waharibu Amani yetu