Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
Licha ya muda mfupi aliokaa na timu kocha mpya wa SIMBA bwana Benchka, kwa mara ya kwanza nimeiona tena ile simba ya kupambana mwanzo mwisho.
Tangu atimuliwe yule fitness coach ambae aliondoshwa pamoja na Darosa, timu yangu Simba haikuwahi kucheza tena kwa utimamu kama ilivyokuwa game ya jana.
Wachezaji wanapambana utafikiri sio wale wa juzi, na kwamorali hii, naamini WYDAD atatapika makande hapa kwa mkapa, hakika nasema.