Haki huyu ndie mwalimu SIMBA tuliyemhitaji

Haki huyu ndie mwalimu SIMBA tuliyemhitaji

Pettymagambo

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2017
Posts
1,490
Reaction score
8,227
Licha ya muda mfupi aliokaa na timu kocha mpya wa SIMBA bwana Benchka, kwa mara ya kwanza nimeiona tena ile simba ya kupambana mwanzo mwisho.

Tangu atimuliwe yule fitness coach ambae aliondoshwa pamoja na Darosa, timu yangu Simba haikuwahi kucheza tena kwa utimamu kama ilivyokuwa game ya jana.

Wachezaji wanapambana utafikiri sio wale wa juzi, na kwamorali hii, naamini WYDAD atatapika makande hapa kwa mkapa, hakika nasema.
 
Wachezaji wanapambana utafikiri sio wale wa juzi, na kwamorali hii, naamini WYDAD atatapika makande hapa kwa mkapa, hakika nasema.
Fear of unknown, kila mchezaji lazima ajitume. Benchicka bado hana first eleven yake.

Struggle for existence
Anyway kila la heri kwa Benchicka namkubali sana japo mi ni Mwananchi lialia.
 
Katika msimu huu, timu ya Robertinho haikuwahi kumaliza dakika 90 pasipo kupata goli, ila kuna harufu ya ukame wa magoli inanukia chini ya Benchikha. Mechi mbili timu imeshindwa ku score goli tena dhidi ya timu zinazochechemea. Kocha ana kitu cha kufanya, Chama kaporomoka zaidi hata kama anakuwaga konokono lakini sio kwa kiwango hiki. Kama kabebeshwa mawe miguuni.
 
Naona kama wana kikundi chao wanajitenga wao 3 tuu..wanajiona masupa staa..Chama,Miquisone na Phiri...nadhani kuna agenda wanayo hawa sio bure...
 
Licha ya muda mfupi aliokaa na timu kocha mpya wa SIMBA bwana Benchka, kwa mara ya kwanza nimeiona tena ile simba ya kupambana mwanzo mwisho.

Tangu atimuliwe yule fitness coach ambae aliondoshwa pamoja na Darosa, timu yangu Simba haikuwahi kucheza tena kwa utimamu kama ilivyokuwa game ya jana.

Wachezaji wanapambana utafikiri sio wale wa juzi, na kwamorali hii, naamini WYDAD atatapika makande hapa kwa mkapa, hakika nasema.
Acha ukilaza angalia na viwango vya timu ulizocheza nazo, unataka kutuambia ndani ya wiki moja ndio benchikha kaibadilisha timu?

Ni kawaida sana kwa kocha mpya anapoingia kwenye timu lazima wachezaji watafute namba ndicho kinachotokea ndani ya Simba na sio uwezo Wala kusema eti benchikha kaibadilisha timu labda Kama mpira umeujulia ukubwani, alafu pia unaangalia uwezo wa timu ulizocheza nazo ukoje?

Uyo wydad kachapwa mechi 2 na Asec pamoja na kibonde wa kundi jwaneng iyo ni ishara tosha ya aina ya timu uliyoenda kupambana nae, jwaneng mbovu aliyemkanda whdad wewe ulichukua point 1 kwake, na whdad aliyekandwa na jwaneng mbovu amechukua kwako point 3, kwa uhalisia umeshindwa kuonyesha ubora wako mbele ya timu mbovu zote unategemea Nini???
 
Simba ni JIHADI tu sio kiwango, subiri Tar 16 wanacheza ligi ya Bongo utaona.
 
Mimi ni mwanajangwani ila sasa Simba inacheza vizuri.
Kilichoongezeka ni hali tu ya upambanaji kwa wachezaji ili wamshawishi kocha mpya, ila sio kwamba mbinu na tactics za kocha mpya zimeanza kufanya kazi kwa muda mfupi kiasi hiko.
Ukirudisha kumbukumbu nyuma kwenye mechi ya African football league dhidi ya Al Ahly, utapata jibu. Wachezaji wa Simba walijituma sana kwenye ile mechi, kitu ambacho kilikuwa hakifanyikagi, na yale ndio yalikuwa matokeo ya kujituma kwao.
 
Sifa moja kubwa ya wanathimba Guvu moya ni kujipa matumaini na kujifariji, ilianzia Jan na hii ni Dec Sasa mbumbumbu kufa kiume fc bado wako vile vile!!

Jana Simba hawakucheza mpira bali waliuchezea mpira, walikuwa na kasi isiyo na malengo, hawakutengeneza nafasi hata moja ya kufunga! Walikuwa na harakati kibao zisizo na Maana!

Mtazamo wangu ukweli usemwe 5imba Guvu moya ni underdog msimu huu na ni bado saaaaana!

Makolo Mkinuna narusha goli la Max Nzengeli lile la kwenye 5G!
 
Acha ukilaza angalia na viwango vya timu ulizocheza nazo, unataka kutuambia ndani ya wiki moja ndio benchikha kaibadilisha timu?
Ni kawaida sana kwa kocha mpya anapoingia kwenye timu lazima wachezaji watafute namba ndicho kinachotokea ndani ya Simba na sio uwezo Wala kusema eti benchikha kaibadilisha timu labda Kama mpira umeujulia ukubwani, alafu pia unaangalia uwezo wa timu ulizocheza nazo ukoje? Uyo wydad kachapwa mechi 2 na Asec pamoja na kibonde wa kundi jwaneng iyo ni ishara tosha ya aina ya timu uliyoenda kupambana nae, jwaneng mbovu aliyemkanda whdad wewe ulichukua point 1 kwake, na whdad aliyekandwa na jwaneng mbovu amechukua kwako point 3, kwa uhalisia umeshindwa kuonyesha ubora wako mbele ya timu mbovu zote unategemea Nini???
Kilaza aliyekukojoa, ficha upumbav wako.
 
Back
Top Bottom