Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
Mkuu, zomeazomea yapo hayakosekani.Kabisa kabisaa asietaka kuona hilo ni kilaza...huo ndio ukweli
Fear of unknown, kila mchezaji lazima ajitume. Benchicka bado hana first eleven yake.Wachezaji wanapambana utafikiri sio wale wa juzi, na kwamorali hii, naamini WYDAD atatapika makande hapa kwa mkapa, hakika nasema.
Naona kama wana kikundi chao wanajitenga wao 3 tuu..wanajiona masupa staa..Chama,Miquisone na Phiri...nadhani kuna agenda wanayo hawa sio bure...Katika msimu huu, timu ya Robertinho haikuwahi kumaliza dakika 90 pasipo kupata goli, ila kuna harufu ya ukame wa magoli inanukia chini ya Benchikha. Mechi mbili timu imeshindwa ku score goli tena dhidi ya timu zinazochechemea. Kocha ana kitu cha kufanya, Chama kaporomoka zaidi hata kama anakuwaga konokono lakini sio kwa kiwango hiki. Kama kabebeshwa mawe miguuni.
Acha ukilaza angalia na viwango vya timu ulizocheza nazo, unataka kutuambia ndani ya wiki moja ndio benchikha kaibadilisha timu?Licha ya muda mfupi aliokaa na timu kocha mpya wa SIMBA bwana Benchka, kwa mara ya kwanza nimeiona tena ile simba ya kupambana mwanzo mwisho.
Tangu atimuliwe yule fitness coach ambae aliondoshwa pamoja na Darosa, timu yangu Simba haikuwahi kucheza tena kwa utimamu kama ilivyokuwa game ya jana.
Wachezaji wanapambana utafikiri sio wale wa juzi, na kwamorali hii, naamini WYDAD atatapika makande hapa kwa mkapa, hakika nasema.
Bila boco kuondoka hapo.timu haiwezi kuwa vizuri.anapiga sana misumali wenzie
Kilichoongezeka ni hali tu ya upambanaji kwa wachezaji ili wamshawishi kocha mpya, ila sio kwamba mbinu na tactics za kocha mpya zimeanza kufanya kazi kwa muda mfupi kiasi hiko.Mimi ni mwanajangwani ila sasa Simba inacheza vizuri.
Huyo kocha aishi milele hapo unyamani hata timu ikishuka daraja apande nayo...sisi tumekubali mnooo
Kilaza aliyekukojoa, ficha upumbav wako.Acha ukilaza angalia na viwango vya timu ulizocheza nazo, unataka kutuambia ndani ya wiki moja ndio benchikha kaibadilisha timu?
Ni kawaida sana kwa kocha mpya anapoingia kwenye timu lazima wachezaji watafute namba ndicho kinachotokea ndani ya Simba na sio uwezo Wala kusema eti benchikha kaibadilisha timu labda Kama mpira umeujulia ukubwani, alafu pia unaangalia uwezo wa timu ulizocheza nazo ukoje? Uyo wydad kachapwa mechi 2 na Asec pamoja na kibonde wa kundi jwaneng iyo ni ishara tosha ya aina ya timu uliyoenda kupambana nae, jwaneng mbovu aliyemkanda whdad wewe ulichukua point 1 kwake, na whdad aliyekandwa na jwaneng mbovu amechukua kwako point 3, kwa uhalisia umeshindwa kuonyesha ubora wako mbele ya timu mbovu zote unategemea Nini???