Haki inanisumbuwa

Haki inanisumbuwa

Sasa katika hiyo time-frame ya saa 4 asubuhi mpaka saa 10 jioni utammegea wapi? Nyumbani kwako?
Mkuu Nyani Ngabu kwani uliposema kuwekeza kwenye Guest House hukujuwa kwamba ndio biashara nzuri!!.....mfano sasa hivi Sinza kumejengwa Mahotel mengi sana lakini cha kushangaza wageni wanaofikia hapo ni wachache kuliko wazee wa gemu tena kuna mademu wengine wanaliwa wakati wa lunch time, kuna ile style ofisini mtu anajifanya anampa lifti mfanyakazi mwenzake waende lunch basi muda huohuo mtu anatafunwa Hotelini, tena Hotel zenyewe za Sinza na Kariakoo zipo mpaka za shilling 30,000/= per room.
 
Mkuu Nyani Ngabu kwani uliposema kuwekeza kwenye Guest House hukujuwa kwamba ndio biashara nzuri!!.....

Kusema ukweli nilikuwa sijalifikiria kabisa hilo. Ila leo sijui ni nini tu kimeniingia kichwani na kufikiri kuwa nyingi ya hizo gesti huwaga hazina wakaaji wanaokaa kwa siku kadhaa au overnight. Hapo ndipo nikatanabahi kuwa hiyo yote ni kwa sababu hizo gesti hutumiwa kwa muda mfupi.

mfano sasa hivi Sinza kumejengwa Mahotel mengi sana lakini cha kushangaza wageni wanaofikia hapo ni wachache kuliko wazee wa gemu tena kuna mademu wengine wanaliwa wakati wa lunch time, kuna ile style ofisini mtu anajifanya anampa lifti mfanyakazi mwenzake waende lunch basi muda huohuo mtu anatafunwa Hotelini, tena Hotel zenyewe za Sinza na Kariakoo zipo mpaka za shilling 30,000/= per room.

Hiyo ya lanch time hata mimi nimeshaishuhudia aisee. Halafu sasa wote wawili ikifika muda wa kurudi nyumbani wanakuwa on time kama vile hawajafanya chochote kibaya. Watu bana...
 
uki deal na wanawake kwa kiburi cha 'haki yangu'
watakusumbua sana....

wanawake nenda nao kama watoto wadogo...
wape 'pipi' na 'ice cream' kila mara...na 'uwaimbie imbie nyimbo'...
ndo wanaenda...

The Boss...............
 
ndo maana vita dhidi ya ukimwi ni ngumu sana.....

ila kwa mjasiriamali kama mie nashukuru kwa kunipa wazo la biashara loh!!!!!!!


Mkuu Nyani Ngabu kwani uliposema kuwekeza kwenye Guest House hukujuwa kwamba ndio biashara nzuri!!.....mfano sasa hivi Sinza kumejengwa Mahotel mengi sana lakini cha kushangaza wageni wanaofikia hapo ni wachache kuliko wazee wa gemu tena kuna mademu wengine wanaliwa wakati wa lunch time, kuna ile style ofisini mtu anajifanya anampa lifti mfanyakazi mwenzake waende lunch basi muda huohuo mtu anatafunwa Hotelini, tena Hotel zenyewe za Sinza na Kariakoo zipo mpaka za shilling 30,000/= per room.
 
Sasa mwanamme anatoaje talaka? Sheria inampa mamlaka ya kutoa? Na kama mwanamme anatoa talaka ina maana jaji hana umuhimu katika shauri la talaka?

Pia sharia inampa haki mwanamke kupokea mahari na jee hili nalo litahusiana na jaji? Halafu nini kazi ya jaji? Kazi yake ni kusuluhisha mgogoro lakini kutowa talaka iwapo mtoaji na mpokeaji wameshakubaliana jaji wanini?
 
Duuh! Kama ni kweli hivyo ndivyo ilivyo basi kaazi kweri kweri.

Yaani kwa hiyo ina maana mwanamke anaweza akawa kwenye abusive marriage na asijichomoe toka kwenye hiyo hali hadi mumewe apende? Hata akipigwa mangumi na kung'olewa meno hana jinsi....ni kuvumilia na kusamehe saba mara sabini?

I am trying to make sense of that nonsense but I just can't.

Ni bora ungeendelea kuuliza badala ya kukonclude!

Hivyo sivyo kabisa! Linapotokea hilo ndio panapo mgogoro hivyo haki itatendeka kwa wahusika waliopewa kibali kuinguilia kati. Iwapo unataka kujuwa hutaki kukejeli nitakuwa tayari kukufahamisha ili uone kuwa hiyo dini imezingatia haki ya mwanamke zaidi kuliko wengine ambao huingia kwenye kiapo cha maisha!
 
shauri lako,ngoja na huyo mke wa pili aje na visanga vyake....ukienda huku gubu,ukirudi huku gubu. ndio kiranga kitakavyokukoma....kama mkeo shida yake talaka si umpe tu na wewe uwe free kumuoa unayemtaka???......holding onto dead relationship...is not healthy,not for you,not for anybody else.

Nimekwambia nina chungu ya sababu ambazo zinanizuia kumpa talaka na yeye analijuwa hilo ndio maana ananitesa. Pengine nikipata huyo mwengine naweza kujibu mapigo kwani nitakuwa na wakuniliwanza!
 
Kuna siku Mwanakijiji alianzishaga mada kuhusu kulegeza sheria ya ndoa Tanzania na kugusia kama kuwepo na kipengele cha "no-fault" divorce, na mimi nilipounga mkono watu hawakunielewa kabisa.

Ila sijabadili mtazamo. No-fault divorce bado naifagilia, tena sana tu. Na kwa Tanzania ndoa nyingi ni maigizo tu. Wanandoa wanazini kuliko ambavyo watu wako tayari kukiri.

Midanguro (gesti) imejaa kila kona na patrons wake wengi nadhani ni wanandoa. If that's not the apex of hypocrisy, then what is?

Hii ni nchi huru! Wenye madanguro kama taasisi zao za ndowa, Waislamu na idadi kubwa ya wake kama taasisi yao ya ndowa, Wakristo na pingu za maisha kama taasisi yao ya ndowa na makabila na mtandao wa wake na watoto kama taasisi yao ya ndowa: Taasisi hizi zote zimekuwepo na zitaendelea kuwepo na wahusika tu ndio watakaofanya mabadiliko na si watu wa Taasisi nyengine.
Taratibu watu wanakimbia madanguro, waislamu wanaamuwa kuowa mke mmoja, wakristo wanaowana na wanaachana na Makabila wanaepuka mila zao. Hii haina haja ya nguvu!
 
ndo maana vita dhidi ya ukimwi ni ngumu sana.....

ila kwa mjasiriamali kama mie nashukuru kwa kunipa wazo la biashara loh!!!!!!!
Kama uwezo unakuruhusu usipoteze wakati, mimi yangu mzazi alikuwa amepangisha wapangaji nyumba yake halau akawa analalamika hawamlipi kodi, basi mimi nilichofanya niliwaandikia notice wote na kuwaamisha na kuifanyaia renovation nyumba ikawa ni Guest yenye vyumba 18, akamuweka mama yangu mdogo wakawa wanagawana mapato nusu kwa nusu, mama akanilalamikia tena eti hakuna biashara nikamwambia subiri wanaokuhujumu dawa yao iko jikoni inachemka, nikaongea na rafiki mchaga yeye hizo ndio biashara zake na mabar nikamkabidhi kwa Mama wamesaini mkataba na analipa shilling millioni 1 kwa mwezi kwa mkupuo wa miezi sita sita.

Je unataka biashara gani tena nzuri kama hiyo, unadhani Mama yangu tena ananisumbuwa kunitegemea mimi vijisenti wakati yeye ni mstaafu na ana kisehemu cha kumuingizia pesa hiyo? Ila cha kushangaza Mama na mama mdogo hawaongei tena sasa hivi kisa nimewagombanisha kukata mirija ya ulaji.
 
uki deal na wanawake kwa kiburi cha 'haki yangu'
watakusumbua sana....

wanawake nenda nao kama watoto wadogo...
wape 'pipi' na 'ice cream' kila mara...na 'uwaimbie imbie nyimbo'...
ndo wanaenda...

Mwenzangu huwa natowa zaidi ya pipi na ice cream!
Halafu huyu wangu yeye ana uwezo zaidi ya mimi hivyo pipi zangu huwa zinadharauliwa!
 
Hahahaaa imebidi nicheke....NN, Matola amekujibu vizuri.
Tatizo kuna watu hawaelewi na wengine wanapotosha wenzao kuwa mwanaume ndio anaetoa talaka(kwa waislam sawa) lakini kisheria mnakua mmeshapitia ngazi kadhaa mpaka kufikia mahakamani na anaetoa talaka ni hakimu anaeona kuwa kweli nyie vilaza wawili hamuwezi kuendelea kuishi pamoja na si ww(mwanamke/mwanaume)na hamna signature yoyote unayoweka!!! Kila mtu anapewa karatasi lake mnaingia mitini....waiiii watu bwana wanadanganyana sana.

Mama Tuli mimi ninaeomba ushauri ni Muislamu hivyo bado naomba ushauri kama ni muelewa wa sheria ya dini yangu!
 
Umegusa penyewe na ukikaa na hao wanandoa wanakutajia na mida yao mizuri ya kuzuka huko ili husband/wife asijue teh teh teh teh......bongo tambarare!

Hili haliondowi kuweko kwa ndowa ndowa zitaendelea kuwepo na kwa vile ni ndowa za kibinaadamu kasoro zitaendelea kuwepo. Sioni jambo la kushangiria eti tu vile mtu fulani hana ndowa!
 
Kusema ukweli nilikuwa sijalifikiria kabisa hilo. Ila leo sijui ni nini tu kimeniingia kichwani na kufikiri kuwa nyingi ya hizo gesti huwaga hazina wakaaji wanaokaa kwa siku kadhaa au overnight. Hapo ndipo nikatanabahi kuwa hiyo yote ni kwa sababu hizo gesti hutumiwa kwa muda mfupi.



Hiyo ya lanch time hata mimi nimeshaishuhudia aisee. Halafu sasa wote wawili ikifika muda wa kurudi nyumbani wanakuwa on time kama vile hawajafanya chochote kibaya. Watu bana...


biashara ya gesti ni nzuri but
inaweza ku cost mahusiano
unaweza kuwa so negative na mahusiano
kila mtu ukamuona ndo wale wale...
ukashindwa tena kutazama mahusiano in a positive look...
 
mtu anakutia panzi wa roho uko nae tu, dah! mie uvumilivu wa namna hiyo Mungu ameninyima , we muache bwana life is too short, kwanini uishi kwa kujitesa na uwezo wa kuepuka mateso unao.

Kuna mambo ambayo mimi sitaki kuwa sababu yakienda kombo! Nimejaribu sana kuwa mtiifu kwake lakini pengine hilo ndilo kosa langu.
 
Kama wewe ndie unaeweza kutoa ndio utoe sasa.

Ndugu yangu nilisema toka mwanzo bora haki hiyo ingekuwa kwa mwenzangu pengine angekwishayamaliza kwa vile sababu nilizonazo mimi yeye hangekuwa nazo.
 
Sasa Boss niambie kwa nini biashara ya gesti ni nzuri (I have a high regard for your business acumen)?

kuna biashara nyiingi nzuri
pengine kuliko ya gesti
but hiyo ya gesti inakuwa nzuri zaidi kwa sababu ni 'easy to do it'
na ina risk kidoogo sana.....

ukiweza kuweka gesti safi nzuri na kuisimamia..
utakuwa na unaingiza pesa kwa 'kusoma tu gazeti' na kuwasubiri wateja wako

hapo ndo inapokuwa ni nzuri
haina risk mfano una daladala....kuna risk ya ajali,gharama za matengenezo mara kwa mara
trafiki na kadhalika...
 
Back
Top Bottom