Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mkuu Nyani Ngabu kwani uliposema kuwekeza kwenye Guest House hukujuwa kwamba ndio biashara nzuri!!.....mfano sasa hivi Sinza kumejengwa Mahotel mengi sana lakini cha kushangaza wageni wanaofikia hapo ni wachache kuliko wazee wa gemu tena kuna mademu wengine wanaliwa wakati wa lunch time, kuna ile style ofisini mtu anajifanya anampa lifti mfanyakazi mwenzake waende lunch basi muda huohuo mtu anatafunwa Hotelini, tena Hotel zenyewe za Sinza na Kariakoo zipo mpaka za shilling 30,000/= per room.Sasa katika hiyo time-frame ya saa 4 asubuhi mpaka saa 10 jioni utammegea wapi? Nyumbani kwako?