matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Hakikisha Angalau amesafiri nje ya nchi Angalau nchi mbili.
Elimu matembezi ( exposure) ndio elimu kubwa kuliko elimu ya chuo.
Vyuo sasa ni vyanzo vya mapato vya wamiliki sio vyanzo vya elimu. Ndio maana bado shahada na stashshada za elimu Zina Endelea kutolewa wakati kunamafuriko ya walimu wasio na pakufundisha mtaani.
Jitahidi kwa EA mtoto wako angalau atembelee Uganda. Duniani Uganda ni nchi ya pili ukiacha Sli Lanka kuwa na raia wengi ambao ni wajasiliamali. Mtembeze humo madukani na kwenye vurugu nyingi za utafutaji Kampala Angalau akili ifunguke mapema.
Jitahidi umpeleke US au China akaone pesa kwa wazungu haipatikani kilelemama. Hakuna kitu cha bure au msaada ya ndugu.
Mfungue mtoto wako, achana na mapokeo ya birthday, umpeleke huko Nairobi, Botswana, SA, Dubai, NY, London, Hong Kong New Delhi etc
Hii itamsaidia kuacha kulialia, kulaumu mfumo fyongo ya nchi hii na kuingia moja kwa moja kwenye utafutaji bila kusingizia nchi au kutegea.
Ni hayo tu
Mengine ongezea wewe
Mtumishi
Mitale naMidimu