Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Unataka kusema 'wajibu wa mbunge' nadhani.Mbunge ni kiongozi anayechaguliwa na wananchi ili akawawakilishe Serikalini badala yao.
Moja ya haki yake kuu ni kuwatetea wananchi na sio Serikali.
Hivyo basi mbunge anapogeuka na kuanza kuitetea Serikali huku wananchi wake anawasaliti hapo anakuwa amevunja haki zake na kuusahau wajibu wake.
Kwa kifupi tu: tunahitaji Katiba Mpya!Hatuna wabunge ila tuna kikundi cha wahuni na matapeli wanaolipwa mishahara na posho kwa Kodi za wananchi. Mfumo wa uchaguzi wa Tanzania hautoi nafasi kwa sanduku la kura kuamua maana yake asilimia kubwa la wabunge waliopo sio chaguo la wananchi,kwasababu ya udhaifu wa tume ya uchaguzi, uelewa mdogo wa elimu ya uraia miongoni kwa wananchi,rushwa,udhaifu wa baadhi ya vyama vya siasa pamoja na serikali kuingilia