Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Kuna watu wengi wamekuwa wakitumia muda wao mwingi kuhubiri amani bila hata kutaja tu neno haki. Kwa maoni yangu, hawa wameshindwa kutumia muda wao wisely. Wanapaswa wawekeze zaidi katika kuhubiri haki, kwasababu haki ikitamalaki amani itapatikana automatically, more or less.
Analogically, wingi na ubora wa maziwa unategemea ubora wa ng’ombe wa maziwa. Ukitaka maziwa mengi na bora, wekeza zaidi kwenye ubora wa ng’ombe wako wa maziwa. Ukitaka kuongeza wingi na ubora wa maziwa bila kumjali ng’ombe wako wa maziwa, unapoteza muda wako!