Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kudukua mawasiliano ya wananchi wako ni dalili ya kutojiamini na vie vie udikteta.Wacha wadukuliwe tu
Anaweza kutokea mrundi mwingine.Mdukuaji mkuu si ni marehemu sasa?
Acha woga mkuu amani kwasasa ipoMdomo koma
Wahusika wasipo fungua kesi nani afungee kwaajili yao?NAUNGA MKONO HOJA ilikuwa Kinana na Makamba kesho Watarudia kwa Mwingine
Waliodukuliwa si hao tu, wapo wengi.Wahusika wasipo fungua kesi nani afungee kwaajili yao?
Sawa, wafungue kesiWaliodukuliwa si hao tu, wapo wengi.
Kinadharia, ndiyo. Lakini kiuhalisia siyo. Duniani kote kuna watu ajira zao ni kufuatilia nyendo zenu.Hiki kilikuwa si kitendi cha kistaarabu na heshima. Sina uhakika lakini kumfuatilia mtu nyendo zake inahitaji kibali cha mahakama.
Nafikiri TCRA haswa ndio tatizo.Tatizo lilianzia Vodacom
Hili ni swala kubwa kuliko unavyofikiri.Watashitakiwa vipi wakati walalamikaji au watendwaji wenyewe wapo kimya.
Mkuu hiyo haki ya usiri ( utunzwaji wa faragha ya mtu mtandaoni) ipo tokea zaman na haijaanza leo wala jana.Hili ni swala kubwa kuliko unavyofikiri.
Kwanza ni ukiukwaji wa katiba, kulinda usiri wa mtu katika jamii.
Ni swala la haki za kibinafsi na ukiukwaji wake.
Kisiasa Makamba na Kinana inawawia vigumu kushitaki kwani wanaweza tibua mengi ndani ya chama.
Lakini vyama vya haki za binadamu vinaweza kuendesha hii kesi ili kuliwekea msimamo katika misingi ya ukiukwaji wa haki.