Haki ya Faragha: Waliodukua Mawasiliano ya Kinana na Makamba washitakiwe

Wapi kuna demokrasia kwa issue ya kudukuana! Hakuna, ila kuna ngeli nyingi za udukuzi na mwisho wa yote tendo ni lile lile!
Hakuna mahali nchi inadukua wananchi wake kwa kiki tu za kiongozi wake.
 
Hacking line ya mwananchi is illegal, na inawezekana tu pale idara inayohack ipate kibali cha mahakama.
Mahakama lazima ijiridhishe kuwa kuhac-kudukua ni kwa ajili ya usalama wa nci au kuna pipango mibaya ya kijinai.
Sasa wewe jamaa wanakutukana ulivyo mshamba-hiyo itakuwaje kosa la jinai.
Na mbaya zaidi ni yale ya mioyoni mwao tu.
So kubreach someone's privacy kwaajili taarifa Fulani ( Transparency ) not for personal gain ni Cybercrime ?
Kama walifanya ili kulinda taasisi me nawaunga mkono na sioni shida.
#EH high-65

Miaka kadhaa iliyopita mawasiliani binafsi kati ya Comrade Kinana na Makamba yalidukuliwa.

Hiki kilikuwa si kitendo cha kistaarabu na heshima.
Sina uhakika lakini kumfuatilia mtu nyendo zake inahitaji kibali cha mahakama.

Hawa wazee wetu Kinana na Makamba walikuwa watumishi wa ngazi za juu sana katika chama, na waliwahi kuwa Makatibu Wakuu wa CCM.

Hivyo hata kibinadamu wanaweza kutia neno kibinafsi wakiona jambo haliendi sawa, ili wakashauri mbele ya safari.

Vijana, inawezekana ikawa wa TCRA, wakawadukua mawasiliani yao na kumpelekea Rais Magufuli.

Hao vijana na uongozi wao watafutwe na kushitakiwa.

Wewe kama kuandika ikiwezekana andika kila siku sisi wasijilizaji tulishawasikia na kujua tabia zao hao wadukuliwa na hilo ni doa kwao haliwezi kufutika leo wala kesho hata maandiko elfu 10000 yakiandikwa ukweli utabaki pale pale ni bora tu wakatulia maisha yakaendelea.
 
Weka namba yako hadharani idukuliwe.
 
Ni nani huyo? Kwanini ampe sumu mangula?
1667562388692.png

Mzee wa watu alipinga watu fulani kufukuzwa ndani ya CCM katika vikao vikubwa vya faragha.
Naye akabugishwa sumu kwa faragha.
 
kumbe ukiwa mkubwa kwenye ngazi za chama au serikali usirecodiwe hata kama wanamadhara na nchi kwa sababu eti walikuwa viongozi wakubwa mtoa mada ngombe
 
Back
Top Bottom