Haki ya Faragha: Waliodukua Mawasiliano ya Kinana na Makamba washitakiwe

Kwahiyo tumekubaliana kwamba hii ni awamu ya kuwafurahisha watu flani.
 
Yule jasusi Membe aliwashinda alipowaambia ile sauti ni yake kabisa na akataka kujua ni nani aliyemdukua wakaishia kumpa Mangula sumu!!
 
Yule jasusi Membe aliwashinda alipowaambia ile sauti ni yake kabisa na akataka kujua ni nani aliyemdukua wakaishia kumpa Mangula sumu!!
Mangula kupewa sumu na maembe kudukuliwa vinahusianaje mtaalamu
 
Wadukuliwa wenyewe ndio ealioomba msamaha
 
Mnao muda mchache sana wa kuendelea kuumiza Watanzania maskini enyi Wana wa ghasia😠😠😠
 
Huyo aliyewadukua aliwadukua kwa maslahi ya Taifa?
 
Taifa lenye umoja na mshikamano halijengwi kwa kuangalia visasi vya nyuma. Hao wazee wako kimya kwa sababu wanajua uongozi. #Twende mbele tuachane na ya nyuma. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Acha wadukuliwe maana watawala wote duniani, na rudia - kote duniani wanadukuana Juzi nchini China, raisi wa Zamani Hu Jintao kadukuliwa live na Xi Jinping! Na akasindikizwa nje kwa aibu (mkutano mkuu wa 20 wa chama chao). Ni kawaida
 
Sheria ikitungwa huwa haifanyi jazi retrospectively .
 
Acha wadukuliwe maana watawala wote duniani, na rudia - kote duniani wanadukuana Juzi nchini China, raisi wa Zamani Hu Jintao kadukuliwa live na Xi Jinping! Na akasindikizwa nje kwa aibu (mkutano mkuu wa 20 wa chama chao). Ni kawaida
China hakuna demokrasia!
 
Yule jasusi Membe aliwashinda alipowaambia ile sauti ni yake kabisa na akataka kujua ni nani aliyemdukua wakaishia kumpa Mangula sumu!!
Ha ha ha
Jasusi mbobezi akawatangulia mbele ya safari!
 
Hacking is useful buana 🀣
Wazee wakawekwa peupeee
 
Hacking is useful buana 🀣
Wazee wakawekwa peupeee
Hacking line ya mwananchi is illegal, na inawezekana tu pale idara inayohack ipate kibali cha mahakama.
Mahakama lazima ijiridhishe kuwa kuhac-kudukua ni kwa ajili ya usalama wa nci au kuna pipango mibaya ya kijinai.
Sasa wewe jamaa wanakutukana ulivyo mshamba-hiyo itakuwaje kosa la jinai.
Na mbaya zaidi ni yale ya mioyoni mwao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…