min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
uchumi2018Hilo halipo,maana Afaghanistan,Libya na iraq hakuna waisrael wanauana wenyewe kwa wenyewe
kama ilivyokuwa zamani fimbo zilivyokuwa zikitembea misikiti ya kwa mtoro na mwembechai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uchumi2018Hilo halipo,maana Afaghanistan,Libya na iraq hakuna waisrael wanauana wenyewe kwa wenyewe
kama ilivyokuwa zamani fimbo zilivyokuwa zikitembea misikiti ya kwa mtoro na mwembechai
Hivi hatia ni nini? tuanzie hapo, zamani niliamini hizo kauli za bila hatiaje ninwapalestina wangapi wamefungwa bila hatia na kinyume na haki?
Kama Tanzania tulipaswa kuwa taifa la kwanza kwa uchumi Africa huwa binafsi naona hivyo kwa nchi nilizowahi kutembelea Africa 😅Hahaha, utasikia Palestina yatoa msaada wa maendeleo ya kijamii ikiwemo uchimbaji wa vyoo.
Tanzania nchi kubwa na mpaka leo kuna mambo hatuyamudu na ni mjini kabisa achilia mbali vijijini.Kama Tanzania tulipaswa kuwa taifa la kwanza kwa uchumi Africa huwa binafsi naona hivyo kwa nchi nilizowahi kutembelea Africa 😅
Tanzania nchi kubwa na mpaka leo kuna mambo hatuyamudu na ni mjini kabisa achilia mbali vijijini.
Kwamba ng'ombe ndo anachunga kundi la masai? Haiwezekani mkuu, ukiona akili ndogo inaongoza akili kubwa kwa muda mrefu ujue hiyo inayojiita akili kubwa hamna kitu. Yaani tangu awamu ya mwinyi akili kubwa ipo tu inaongozwa na vilaza? Nakataa.Mkuu Tanzania ina watu wana akili wengi tu ila kuna namna vilaza ndio wapo juu😭😭😭
Mkuu bado tunaishi na maisha bado yanaendelea hauwezi kujua mbeleni tuupe wakati mda😅Kwamba ng'ombe ndo anachunga kundi la masai? Haiwezekani mkuu, ukiona akili ndogo inaongoza akili kubwa kwa muda mrefu ujue hiyo inayojiita akili kubwa hamna kitu. Yaani tangu mwinyi akili kubwa ipo tu inaongozwa na vilaza? Nakataa.
Akili ndogo hata uipe majeshi, silaha na mambo yote bado akili kubwa itapata tu namna ya kuonyesha kuwa ni akili kubwa. Sokwe, nyani wana nguvu mno ila binadamu tumewakusanya porini huko sababu tumewazidi akili.
Hahaha, sasa hapo inamaana unasema tusubiri huko mbele akili kubwa kuzidi za wanaotuongoza zije ila kwa sasa waliopo wametuzidi akili. Sisi ng'ombe wao masai.Mkuu bado tunaishi na maisha bado yanaendelea hauwezi kujua mbeleni tuupe wakati mda😅
Dah ni ngumu kutetea hili ila sisi ni waoga hakika ikiwemo na mimi sijui tupoje yani🤣🤣Hahaha, sasa hapo inamaana unasema tusubiri huko mbele akili kubwa kuzidi za wanaotuongoza zije ila kwa sasa waliopo wametuzidi akili. Sisi ng'ombe wao masai.
Huwezi niambia waziri na mbunge tangu 1995 ana akili ndogo kuliko wanaojiita akili kubwa hapa JF huku anawaongoza tangu 1995 na mwanae anaandaliwa kuwaongoza. Yeye hata kama ni kilaza hao wanaoongozwa ni vilaza zaidi.
Kabla hapo aliyewapeleka Gaza akachukua ardhi zao kwa kuuwa watu wao walikuwa malaika?Walianza ugaidi dhidi ya Israel Oct 7 wakaenda mbali zaidi na kuuwa watanzania wawili.
Wacha washughulikiwe
Ardhi Mayahudi uliwapa wewe?Hamna kuonewa watoke hapo sio kwao ni Kwa myahudi shenzi kabisa hzo wapalestina na wazidi kuuwawa wanakalia ardhi ya myahudi
Wale wafuasi wenzenu wa Nabii Tito?Naunga mkono hoja hii washughukiwe wameua watanzania wenzetu
Jina palestina liliwakilisha waarabu na wayahud chief. Cjui unawazungumzia akina nani hapo?Hata humu kuna watu wanaandika maneno mabaya dhidi ya wapalestina,tena bila ushahidi wala kutafuta ukweli.
Wapalestina wanaonewa kwa kiwango cha ajabu,wapenda haki ni lazima tuwatetee,propaganda za hovyo dhidi ya wapalestina hazina maana yoyote,tuepuke kutoa shutuma kwa wapalestina mara ooh sijui waislamu mara oh wao ndio wameanza,mara ohh hiyo ardhi ya wayahudi walipewa na Mungu,wanauawa
Wazee,watoto,wanawake,wasio na hatia,njama za waziwazi za kuwaua ili waishe wote,lakini Mungu yupo ipo siku atawapa haki yao.Mungu sio dhulumati.Mimi ni mkristo japo sio niliyeshika dini sana,na mmoja wa wazazi wangu anatoka ulaya magharibu,roho inaniuma sana jinsi wapalestina wanavyouliwa,ila ipo siku historia itajibu huu udulumati
Kwani kati ya Israel na Jordan nani amepora ardhi kubwa ya Palestina?Katibu Mkuu wa UN alisema kilichofanyika Oct 7 kilitoka na mateso wanayopitishwa Wapalestina na Israel.
Mzee hiko hivi Palestina haijapata Uhuru mpaka leo tunaongea hapa, na Israel haitaki ata kidogo Palestina ipate uhuru na ndiyo maana ameendelea kupora ardhi ya Palestina miaka na miaka kwa kujenga mkazi ya walowezi.
Palestina huko uruhusiwi kupeleka chochote bila kibali cha Israel, Kwaiyo unayaona haya ni matokeo ya unyana wanaufanya Waisrael kwa Wapalestina miaka miaka ili la Oct 7 linakuzwa sababu alieguswa ni mtu ambae anamiliki Media ila unyama waliufanya ao Waisrael kwa Wapalestina hauna mfano! Wamewaua kwelikweli toka miaka ya 1900.
Wanauwana kwa kuanzishwa vikundi na Hao waliozivamia hizo nchiHilo halipo,maana Afaghanistan,Libya na iraq hakuna waisrael wanauana wenyewe kwa wenyewe
kama ilivyokuwa zamani fimbo zilivyokuwa zikitembea misikiti ya kwa mtoro na mwembechai
palestina ni taifa,sio kabila,ndani ya nchi hiyo kuna kila kabila,wapo wayahudi,waarabu,na kabila nyingiJina palestina liliwakilisha waarabu na wayahud chief. Cjui unawazungumzia akina nani hapo?
Kuna eneo la Palestina liko chini ya Jordan?Kwani kati ya Israel na Jordan nani amepora ardhi kubwa ya Palestina?
Hongera sana ndugu kwa hayo maneno uliyoandika.Hata humu kuna watu wanaandika maneno mabaya dhidi ya wapalestina,tena bila ushahidi wala kutafuta ukweli.
Wapalestina wanaonewa kwa kiwango cha ajabu,wapenda haki ni lazima tuwatetee,propaganda za hovyo dhidi ya wapalestina hazina maana yoyote,tuepuke kutoa shutuma kwa wapalestina mara ooh sijui waislamu mara oh wao ndio wameanza,mara ohh hiyo ardhi ya wayahudi walipewa na Mungu,wanauawa
Wazee,watoto,wanawake,wasio na hatia,njama za waziwazi za kuwaua ili waishe wote,lakini Mungu yupo ipo siku atawapa haki yao.Mungu sio dhulumati.Mimi ni mkristo japo sio niliyeshika dini sana,na mmoja wa wazazi wangu anatoka ulaya magharibu,roho inaniuma sana jinsi wapalestina wanavyouliwa,ila ipo siku historia itajibu huu udulumati