Haki za kisheria za Ruge Mutahaba wa Clouds ni zipi baada ya kurekodiwa akilia kwenye simu?

Daah! Huruma sana hawa wanawake hawa. Zamaradi kamtenda sana kijana mwenzetu inaelekea Ruge hapa ndio alipofika inaelekea mtoto wa Kitanda yupo vizuri
 
Seriously? Utakuwa moja kati ya mia.
 
hiyo picha ya bashite inafanya nini hapo? maana nikimuona huwa nasikia kichefuchefu
 
Zamaradi naye hajatulia. Inakuaje mke wa mtu unaongea na bwana wako wa zamani na unapromise kuwa alale "kesho nitakuja tuzungumze"? Unakwenda kuzungumza naye nini wakati umeshaamua kuolewa na mwingine? Utaomba ruhusa kwa mumeo au unakwenda kimyakimya? Huyo dogo aliyemwoa huyu dada ajiongeze mapema la sivyo akubali kugongewa na akina Ruge kila uchao.
 
Tukisema ile radio ya mabwabwa mnabisha.....haya boss analilia papuchi kama toto dogo....
 
ile ilikuwa ni danganya toto, alikuwa anamzuga alale tu, hakuna cha mazungumzo wala nn
 
Kama kulilia papuchi kwake ni poa basi poa tu sioni ubaya wowote!! Swali ni how come aililie sasa wakati ameishi nayo miaka yote hii na alikuwa na uwezo wa kufanya kile walichofanya wenzake!

Au ndo ule msemo wa Kiswahili kwamba thamani ya kitu huoni hadi kinavyokuponyoka!!!
 
Kijana wa CALL ME J amemshinda ujanja.
Dogo anajua fitna pia madaraka yake yanampa nguvu.
 
Nakuunga mkono. Ile kauli haina uhalisia kwa sasa
Si unaona mkuu, mtu mzima anamwaga makamasi utafikri amepagawa? Sasa zingekuwa nyama zote ziko sawa si angesema nitapata mwingine!
 
kinachomuuma Ruge hapo ni watoto.watoto huwa wanapaswa kupata malezi ya wawili.inapokuwa vinginevyo inauma sana asikwambie mtu
 
katika moja ya makosa babu yangu alinionya nisifanye ni kutoa chozi langu mbele ya mke au mchumba,iwe kwenye mapenzi,msibani n.k, ni heri kama chozi limekushika utafute sehemu ujibanze ulieeee ila ukirudi upo ngangari

Kweli mkuu ndio maana obama anasema alishukuru hakutoa mchozi mpaka mtoto wake wa kike alipoondoka ndio akaanza kulia siku anampeleka college
 
Thamani ya kitu siku zote inajulikana kikiondoka... Ruge umekaa na zamaradi kutwa kucha kukitembeza ndo ukome. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakuthalimu[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…