cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Kwa hizi comments zako kwa mwanamke mwenzio bhasi nashawishika kuamini mkono wa Bashite umehusika kama shilawadu walivyoripoti,huwezi kuwa na maneno makali hivi kwa mwanamke mwenzio...
Kuanzia leo ile kauli ya wahenga isemayo "utamaliza bucha nyama ni ile ile" nimeitengua. Nyama ya Zamaradi ni tofauti na za akina Cocochanel!!
HahahaSi mzee wa fursa atafute fursa ya kupata mwingine aache mbna bidhaa zipo nyingi sokoni
Duh, [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nimecheka xn km ni yeye, angekua mdg wng cjui ningmfanyejeWakuu kuna clip zimesambaa Jana za boss Ruge wa Clouds FM amerekodiwa na aliyekuwa mpenzi wake aliyezaa nae watoto 2 akimlilia huyo mwanamke asimuache, baada ya huyo mwanamke ambaye ni mtangazaji wa Cloud FM anayeitwa Zamaradi Mketema kuamua kuolewa na anayesemekana ni mtoto au mtu wa karibu na mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Je, anaweza kufungua shauri mahakamani akadai haki yake ya privacy kuingiliwa bila idhini yake. Wataalamu wa sheria mtusaidie.
My Take:
Nimeamini mapenzi yana nguvu, kwa jinsi jamaa alivyokuwa analia basi huyo dada anaonekana mtamu sana. Wanaume pia tuwe makini, tuache michepuko hawa wanawake wamekuwa makatili sana nowadays.
hahaha"Debe tupu haliachi kupwita"
Kuna kawimbo kanaimbaga "make siinguo apatikane sokoni na wala sio kitunguu apatikane gengeni" ili uijue thamani ya mtu au kitu lazima kikutoke.Mambo ya kishamba kulia lia.....atafute mrembo mwingine mtamu zaid ya cheusi