Haki za kisheria za Ruge Mutahaba wa Clouds ni zipi baada ya kurekodiwa akilia kwenye simu?

The "Karma" in the making.
 
Hili suala ni fundisho tosha kwetu sisi wanaume,,hili kwnza linafundisha UAMINIFU ,,ina maana ZAMARADI hakuwa muaminifu kwenye mahusiano yao tangia mwanzo...Alichokuwa kinamliza RUGE NI FEDHEHA,,na UCHUNGU WA KUSALITIWA lakini PENGINE HATA hakuwa na MAPENZI yeyote kwa EX WAKE HUYO....nina maana kuwa hakuna kitu kinauma ktk mapenzi kama USALITI,,na siku zote mwanaume hawezi kutangaza ndoa kwa mwanamke , ,kama hakuwa na uhusiano na mwanamke kimapenzi,,inaonekana wazi HUYO DUME alikuwa AKIMTAFUNA HUYO ZAMARADI siku nyingi wakati bado yupo na RUGE,,,hivyo RUGE akifikiria yote hayo , anajiona ni MDHAIFU KWA KUPOKWA MWANAMKE,,,HICHO NDY KINACHOMLIZA RUGE, FEDHEHA, NA UCHUNGU WA KUSALITIWA NA MWANAMKE,,,means anakumbuka kumbe huyu ZAMARADI hakuwa mwaminifu kwangu...na siku zote KTK MAPENZI atakayewahi KUMWACHA MWENZIE ndy atakayekuwa na FARAJA kwa wakati ule....lakini mwisho wa siku yule aliyemwacha mwenzie ndy atakaye kuja kujuta.......kama mpenzi wako umemwacha bila kosa lolote na ukamfanya ATOKE MACHOZI KIASI HICHO..basi ..mwisho wa siku UTAKUJA KUJUTIA..hii ni PROVED 100%...lakini kama RUGE ndy aliyekuwa hataki ndoa na hakuwa na mapenzi ya kweli kwa zamaradi ,,, basi kilio chake ni kelele za chura tu KISIMANI
 
Sijawahi kumlilia mwanamke na haitokuja itokee, wanawake walivyojazana hivi eti nimwage chozi..kudadadeki
Mkuu upo kama mimi mpaka nahisi nina mapungufu fulani. Tangia nimeanza haya mambo nimeshaacha na kuachwa mara kibao. Sijawahi kuumia na sijui maumivu ya mapenzi yakoje. Ukiamua kusepa, naendelea na maisa yangu mengine na wewe nikimumwaga just go on.
 
Ieleweke hz sio zama za mama zetu jmn,kuvumilia BS all my life for what eti??.!!
Uvumilivu nao una mwishoo
 
Mkuu upo kama mimi mpaka nahisi nina mapungufu fulani. Tangia nimeanza haya mambo nimeshaacha na kuachwa mara kibao. Sijawahi kuumia na sijui maumivu ya mapenzi yakoje. Ukiamua kusepa, naendelea na maisa yangu mengine na wewe nikimumwaga just go on.
Huo ndo uanaume, kulialia tuwaachie wanawake
 
Mkuu upo kama mimi mpaka nahisi nina mapungufu fulani. Tangia nimeanza haya mambo nimeshaacha na kuachwa mara kibao. Sijawahi kuumia na sijui maumivu ya mapenzi yakoje. Ukiamua kusepa, naendelea na maisa yangu mengine na wewe nikimumwaga just go on.
Sio siri hujawahi kupenda...siku ukipenda utamwelewa boss Ruge na na 'm gonna dieee' hahha
 
katika moja ya makosa babu yangu alinionya nisifanye ni kutoa chozi langu mbele ya mke au mchumba,iwe kwenye mapenzi,msibani n.k, ni heri kama chozi limekushika utafute sehemu ujibanze ulieeee ila ukirudi upo ngangari
 
Ila Zamaradi amekosea kumrekodi na kusambaza. Hata kama hakumtaka, kufanya hivyo ni kazidi kumtesa mwenzie. Akumbuke Kuwa yule bado ni baba wa watoto wake. Kwa namna fulani ni lazima wataendelea kuwa pamoja
 
Kwahiyo zama kaamua kumdhalilisha mzazi mwenzie kwa kuachia audio


Tuwe makini sana na maongezi ya kwny simu
 
Umalaya wa zama kisa kaolewa ndo mnauona ehh,umalaya wa Ruge??watizame, mkuki kwa nguruwe sio?.!
Huyo jamaa alikuwa anambandua hata kabla yupo na ruge.. sisi wanaume hatuwezi kuoa kabla hatuja gegeda... ukitaka kujua tabia za mkeo angalia marafiki zake tu...
 
Ruge wakiitwa wanaume powerful vijana nchi hii unamwachaje kwa mfanoo...yamemkuta Ruge hata wewe yanaweza yasikuache salamaa
Nakubaliana na ww kuwa Ruge ni mtu mwenye nguvu na watu tuko tofauti, mm mwanamke tukiachana leo baada ya siku mbili namsahau. Naendelea na maisha yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…