Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na mwanamke mpaka anaamua kutoka nje ujue ndani kumeshindikana.....Hili suala ni fundisho tosha kwetu sisi wanaume,,hili kwnza linafundisha UAMINIFU ,,ina maana ZAMARADI hakuwa muaminifu kwenye mahusiano yao tangia mwanzo...Alichokuwa kinamliza RUGE NI FEDHEHA,,na UCHUNGU WA KUSALITIWA lakini PENGINE HATA hakuwa na MAPENZI yeyote kwa EX WAKE HUYO....nina maana kuwa hakuna kitu kinauma ktk mapenzi kama USALITI,,na siku zote mwanaume hawezi kutangaza ndoa kwa mwanamke , ,kama hakuwa na uhusiano na mwanamke kimapenzi,,inaonekana wazi HUYO DUME alikuwa AKIMTAFUNA HUYO ZAMARADI siku nyingi wakati bado yupo na RUGE,,,hivyo RUGE akifikiria yote hayo , anajiona ni MDHAIFU KWA KUPOKWA MWANAMKE,,,HICHO NDY KINACHOMLIZA RUGE, FEDHEHA, NA UCHUNGU WA KUSALITIWA NA MWANAMKE,,,means anakumbuka kumbe huyu ZAMARADI hakuwa mwaminifu kwangu...na siku zote KTK MAPENZI atakayewahi KUMWACHA MWENZIE ndy atakayekuwa na FARAJA kwa wakati ule....lakini mwisho wa siku yule aliyemwacha mwenzie ndy atakaye kuja kujuta.......kama mpenzi wako umemwacha bila kosa lolote na ukamfanya ATOKE MACHOZI KIASI HICHO..basi ..mwisho wa siku UTAKUJA KUJUTIA..hii ni PROVED 100%...lakini kama RUGE ndy aliyekuwa hataki ndoa na hakuwa na mapenzi ya kweli kwa zamaradi ,,, basi kilio chake ni kelele za chura tu KISIMANI
Zaa na mwanamke watt wawili afu aolewe na bwana mwingine ndo urudi hpNakubaliana na ww kuwa Ruge ni mtu mwenye nguvu na watu tuko tofauti, mm mwanamke tukiachana leo baada ya siku mbili namsahau. Naendelea na maisha yangu
Uvumilivu wa umalaya wa Ruge umepara kikomooUvumilivu wa nn labda mkuu?
Am gonna dieee huhuhuhhhHivyo vilio ni zuga tu...hamna lolote!
Na tabia za Ruge kwendenii zenyuuuuHuyo jamaa alikuwa anambandua hata kabla yupo na ruge.. sisi wanaume hatuwezi kuoa kabla hatuja gegeda... ukitaka kujua tabia za mkeo angalia marafiki zake tu...
Nachukua watoto naachana nae, kulia hakubadilish njano kuwa nyeupeZaa na mwanamke watt wawili afu aolewe na bwana mwingine ndo urudi hp
Ukikua utaachaMwanaume anayelilia mwanamke fahamu kabisa ana tabia za ki Tonny Blair
Kumbe!!!Kuna watu hawaelewi hiki kitu ...kuna wife material japo unamichepuko....watu wengi tunachepuka ...ila wife akizingua ndani na kutaka kusepa siyo kutoa kamasi kama za ruge ....unajiharishia kabisaaa
Mbunye zinafanana kwa majina tuDuuuh kwa mbunye zilivyokua nyingi unalia,huyo mlangira atakua boya watu wanaachana watoto 7 hawalii sembuse yeye wawili tena wa hawara
Kwa kua mamayao siwataki watoto au...mwanangu halelewi na mama wa kambo ningali haiii uwii...Nachukua watoto naachana nae, kulia hakubadilish njano kuwa nyeupe
Usione watu wanapita Mchana wakiwa wamevaa Nguo na ndio maana Ngono inapigwa sirini maana ukiwakuta watu wanafanya yao huko Kitandani acha kabisaHahahahah. Nimecheka sana. Huyo mwanamke alikuwa anampa nini ambacho hawezi kupata kwingine mpaka atoe kilio chote hicho?
Watoto ni mali ya baba hata sheria inatambua hiloKwa kua mamayao siwataki watoto au...mwanangu halelewi na mama wa kambo ningali haiii uwii...
Komaeni na sheria zenu ishu at hand ni Ruge kutoswa na mwanamke unexpectedly...watt sio mada saivi..Watoto ni mali ya baba hata sheria inatambua hilo