Tongoza za kitoto hizoHio zuga tu...huwa tunatongoza hadi chozi nikikupata nasepa unabaki unajiuliza ndio huyu aliekuwa ananililia au namfananisha?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tongoza za kitoto hizoHio zuga tu...huwa tunatongoza hadi chozi nikikupata nasepa unabaki unajiuliza ndio huyu aliekuwa ananililia au namfananisha?!!
Utoto unakusumbuaWewe ndo zwazwa.. Kama hujatongoza basi utakuwa umetongozwa wewe.
Mwanamke kubembelezwa.. Kuliliwa ndio kawaida.
Kwahyo kama mchumba wako malaya na wewe unakuwa malaya? Hilo ndy suluhisho?Uvumilivu wa umalaya wa Ruge umepara kikomoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]No kibonde atakuwa anamcheka bosi wake chini ya meza
bosi ali lia kama toto vile......salama alekoo
Mkuu mama alikuwa anasema hayo maneno usimwamini mwanamke asilimia zote kama hutaki kuniamini basi endelea hivyo ila utakuja kuniambia mwenyewe.Mkuu Kichwa Kichafu naomba kukuuliza je hata mama yako mzazi humwamini? Maana na yeye ni mwanamke pia. Basi itabidi uje kuoa mwanaume mwenzio maana huwaamini wanawake
Huwa mna wanawake wengi,ila huwa yupo mmoja tu ambaye mnawaza ndo awe ubavu wako especially mnapofikiria beyond tendo.Kuna maisha baada ya kufanya matusi.Kuna kujenga familia kuna maisha baada ya ujana.Kuna siku utakuwa huwezi kutomba tena.Nani wa kuwa na wewe katika shida na raha,nani mama wa kuafford needs za makuzi ya watoto wako incase umedondoka ghafla.Wewe Huyu Ruge kapitia wangapi ?kama wanawake wote ni wanafaa kujenga familia huyo Ruge angeoa hata Nandy alienae sasa.Ila akifocus nani anaefaa kuwa mwanamke wa Mithali 31:10 hadi mwisho alikuwa anaona ni Zama.Wife material wameisha??
Wakuu kuna clip zimesambaa Jana za boss Ruge wa Clouds FM amerekodiwa na aliyekuwa mpenzi wake aliyezaa nae watoto 2 akimlilia huyo mwanamke asimuache, baada ya huyo mwanamke ambaye ni mtangazaji wa Cloud FM anayeitwa Zamaradi Mketema kuamua kuolewa na anayesemekana ni mtoto au mtu wa karibu na mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Je, anaweza kufungua shauri mahakamani akadai haki yake ya privacy kuingiliwa bila idhini yake. Wataalamu wa sheria mtusaidie.
My Take:
Nimeamini mapenzi yana nguvu, kwa jinsi jamaa alivyokuwa analia basi huyo dada anaonekana mtamu sana. Wanaume pia tuwe makini, tuache michepuko hawa wanawake wamekuwa makatili sana nowadays.
Whatever the case the girl has moved on..sijui mtamsema kwa lipiii....isiwe kesiiiHio zuga tu...huwa tunatongoza hadi chozi nikikupata nasepa unabaki unajiuliza ndio huyu aliekuwa ananililia au namfananisha?!!
Eti kayajulia ukubwani...unamjua Ruge wewe?SASA RUGE NAYE KIMEO, HV UNAMLILIAJE MWANAMKE ULIYEMZALISHA MARA MBILI??
NINA WASIWASI RUGE KAYAJUA MAPENZ UKUBWANI, WANAWAKE WOTE HAWA? HALAFU MBNA DEMU MWENYEWE WA KAWAIDA TU.
Kampigia simu ili asijisikie vibaya....kuwa baba watoto hajali!Whatever the case the girl has moved on..sijui mtamsema kwa lipiii....isiwe kesiii
Umeandika point lakini tatizo hizo herufi kubwa.........unatufanya tupate shida kusoma bhana aaaagggggrrrrWANAUME MARA NYINGI TUMEKUA TUNAWANYANYASA WANAWAKE KWA MICHEPUKO YETU,SASA UNAPOKUTANA NA MWANAMKE MAKINI ANAEJUA NINI MAANA NDOA,NDOA SIO MATESO ,TENA MATESO YA MAKUSUDI,NDOA SI UTUMWA,MWANAMKE MAKINI HAWEZI KUVUMILIA KATESO YA HIVYO,LABDA AWE ALIFUKUZWA KWAO,MATESO YA NDOA YANAUMA SANA,LABDA HUYO MWANAMKE AWE MSANII WA MAPENZI,ATAKAA.MWANAMKE MWENYE KUJIWEZA HAWEZI KUVUMILIA MATESO YA NDO.MWANAMKE ANAEKUBALI MATESO YA NDOA,MARA NYINGI SABABU NI WATT AU KWAO KUNA SHIDA.
Acha uvivu audio ipo hapa imeshawekwa.....click hiyo picha unayoona hapoMwenye nayo atume tafadhri
Papuchi kaka papuchiFursa zimedoda ndio analia au mana simuelewi