kigomabuhigwe
Member
- Jun 19, 2017
- 78
- 70
Hongera.Hizi mambo nazipenda afu zinanitokeaga sana
Nami piaUkiipata forward kwangu
Hujui nini alikuwa anapewa mwanaume mwenzioNimeshindwa kumsikiliza hadi mwisho, ni upumbavu mwanaume kulia lia kijinga kiasi hicho..
Ruge angalia kwasababu hii issue yote imekula kama a big chock kwake. Zama ni mtu aliye kuwa na mipingo nae mingi ya maisha. Ni ngumu sana kumwambia Ruge be strong zkifikiria kuna mwanaume atakae kuwa na access na watoto wake
Kumbe walikuwa marafiki na zamaradi?na pengine ushauri kaupata kwa feiza..Uwe na urafiki na faiza alafu usiwe malaya..???
Nyie wazee hamuwezi liza mtuAsprin njooo na sie tumlize mtu, mweeee.
Uvumilivu wa nn labda mkuu?Ieleweke hz sio zama za mama zetu jmn,kuvumilia BS all my life for what eti??.!!
Uvumilivu nao una mwishoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Akienda court hiyo sauti tunaenda kutengenezea chorus
Kuna watu hawaelewi hiki kitu ...kuna wife material japo unamichepuko....watu wengi tunachepuka ...ila wife akizingua ndani na kutaka kusepa siyo kutoa kamasi kama za ruge ....unajiharishia kabisaaaWala sio mbunye,ingekuwa mbunye angekuwa hatombi nje.Sema Zama ni wife material,Zama ni mwanamke wa kujenga nae familia.
Nakuunga mkono. Ile kauli haina uhalisia kwa sasaKuanzia leo ile kauli ya wahenga isemayo "utamaliza bucha nyama ni ile ile" nimeitengua. Nyama ya Zamaradi ni tofauti na za akina Cocochanel!!
Ujinga huoKuna watu hawaelewi hiki kitu ...kuna wife material japo unamichepuko....watu wengi tunachepuka ...ila wife akizingua ndani na kutaka kusepa siyo kutoa kamasi kama za ruge ....unajiharishia kabisaaa
Hayajakukuta mkuu. Na unaweza ukaumia kivingine ila si lazima utoe choziSijawahi kumlilia mwanamke na haitokuja itokee, wanawake walivyojazana hivi eti nimwage chozi..kudadadeki
Ndo ushangae sasa umalaya wa ruge ambao zama aliuvumilia hawakuuona dada wawatu kaamua kutafuta amani mapovu yanawatokaUmalaya wa zama kisa kaolewa ndo mnauona ehh,umalaya wa Ruge??watizame, mkuki kwa nguruwe sio?.!