Haki za kisheria za Ruge Mutahaba wa Clouds ni zipi baada ya kurekodiwa akilia kwenye simu?

Mkuu Kichwa Kichafu naomba kukuuliza je hata mama yako mzazi humwamini? Maana na yeye ni mwanamke pia. Basi itabidi uje kuoa mwanaume mwenzio maana huwaamini wanawake
Mkuu mama alikuwa anasema hayo maneno usimwamini mwanamke asilimia zote kama hutaki kuniamini basi endelea hivyo ila utakuja kuniambia mwenyewe.


Hata mama humwambia mwanae wa kiume ukweli wote kuhusu mwanamke.
Sibishani ila ndio hivyo
 
Wife material wameisha??
Huwa mna wanawake wengi,ila huwa yupo mmoja tu ambaye mnawaza ndo awe ubavu wako especially mnapofikiria beyond tendo.Kuna maisha baada ya kufanya matusi.Kuna kujenga familia kuna maisha baada ya ujana.Kuna siku utakuwa huwezi kutomba tena.Nani wa kuwa na wewe katika shida na raha,nani mama wa kuafford needs za makuzi ya watoto wako incase umedondoka ghafla.Wewe Huyu Ruge kapitia wangapi ?kama wanawake wote ni wanafaa kujenga familia huyo Ruge angeoa hata Nandy alienae sasa.Ila akifocus nani anaefaa kuwa mwanamke wa Mithali 31:10 hadi mwisho alikuwa anaona ni Zama.
 
Kama ni ya wakati ameolewa kweli.. huyo mwanamke ni mjinga sana kupokea simu na kuongea nae.

Kama ni ya kabla ni bado mjinga sana kuvujisha wakati ameolewa..

Ruge utapata mke mwema huyo hakukufaa kabisa

Shame on her.. kuonyesha ameolewa kisa hakuolewa.. Ruge mshukuru Mungu kakuepusha na majanga na tamaa zake..

Kwanza aachie ngazi kikazi mwenyewe.. ametia aibu wanawake
 
Mzee wa fursa mbona fursa zipo nyingi kitaa sasa ruge ukilia mm nitafanyaje ilihali wew ndo rolemodo wangu siungejipoza kwaa akina nandy jamani au kwavile wew ndo mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji unaanda kipindi kitakacho anza kuruka hewani unaanza kukipa Kik
 
Mapombe yamempelekea kulia dah inackitisha sn Mapenz yanauma xn yameshika nafac ya maisha ya mwanadam
Mungu atampa sahau ruge nimemuone Iman sn alikuwa bado anamapenzi na mzazi mwezie nawala hajafanya cha ajabu wengi yanawatokea ktk maisha
 
Amini.., Amini nawaambieni bado nazidi kusimamia na kuiamini ile kauli kwamba ' Mke Mmoja Hudumaza Akili'

Mzee wangu aliwahi kuniambia mwanangu mke mmoja nuksi na atakupumbaza. 'Mke Mmoja Anadumaza Akili' mwanangu chonde chonde.

Binafsi mzee wangu alikuwa na wake zake watatu (Mke mkubwa, Mke wa pili na Mke wa tatu ambaye ni mama' angu mimi) na wote alikuwa anawapiga pumbu fresh kila mtu anasuuzika na kuridhika kiroho saaaaafi

Yaani kwa jinsi alivyokuwa anawapiga pumbu ilifika mahala hadi mke mkubwa + mke mdogo ambaye ni maza wakamshauri mzee aongeze mke mwingine tena manaake waliona sio vizuri wao watatu tu ndio waendelee kufaidi hiyo mashine na ukizingatia siku zote kizuri kula na mwenzio.

Narudia tena Mke Mmoja Anadumaza Akili.
 
hahaha
kumbe papuche tamu eeeh ngoja na mie nianze kuringa hahaha
 
Hio zuga tu...huwa tunatongoza hadi chozi nikikupata nasepa unabaki unajiuliza ndio huyu aliekuwa ananililia au namfananisha?!!
Whatever the case the girl has moved on..sijui mtamsema kwa lipiii....isiwe kesiii
 
Umeandika point lakini tatizo hizo herufi kubwa.........unatufanya tupate shida kusoma bhana aaaagggggrrrr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…