Haki za kisheria za Ruge Mutahaba wa Clouds ni zipi baada ya kurekodiwa akilia kwenye simu?

Haki za kisheria za Ruge Mutahaba wa Clouds ni zipi baada ya kurekodiwa akilia kwenye simu?

Kwahiyo zama kaamua kumdhalilisha mzazi mwenzie kwa kuachia audio


Tuwe makini sana na maongezi ya kwny simu
Yeye alianzisha kuchambana na mwanamke kwa mgongo wa vijana wa umbea wale! Walimchafua sana akaamua kubeep kidogo kuachia audio 1 huoni wakaacha na post wakafuta.

Wapi lady jaydee, Nandy na wengine! Karma is alive
 
Yeye alianzisha kuchambana na mwanamke kwa mgongo wa vijana wa umbea wale! Walimchafua sana akaamua kubeep kidogo kuachia audio 1 huoni wakaacha na post wakafuta.

Wapi lady jaydee, Nandy na wengine! Karma is alive

Kwahiyo ukiona mtu anafanya ujinga naww unamgeza.


Ukiachana na mumeo ndio mnaanza kutangazana mtaani?!
 
Kwahiyo ukiona mtu anafanya ujinga naww unamgeza.


Ukiachana na mumeo ndio mnaanza kutangazana mtaani?!
Kuna wakati inabidi kumnyamazisha adui anayekuchafua. Kiasili binadamu anapenda heshima yake ibaki Mzee yule anawatuma vijana wamuambie mwanaume mwenzake misheni town? Yeye strong and rich asilie.
 
Kuna wakati inabidi kumnyamazisha adui anayekuchafua. Kiasili binadamu anapenda heshima yake ibaki Mzee yule anawatuma vijana wamuambie mwanaume mwenzake misheni town? Yeye strong and rich asilie.

Hamna kitu kizuri kama kukaa kimya especially pale mtu ulieachana nae anapokutangaza vby
 
Haaaa sio kulewa pombe... Kalewa mapenzi ya mbunye weweee, mbunye yake imechukuliwa mchana kweupeeeeee na hapo sio kalewa ni analilia mbunyeeee, yaani analia, kila mmoja ana sauti yake akilia kwa uchungu hapo kachanganyikiwaaaaaa yaani anasema nakufaaaa miee nakufaaa hiiiiiii heee uuuuhh hhhoowwrr kama anakata roho kwa kujizungusha kitandani sbb anajua Zama ameshabebwa na anapigwa pxmbx vibaya na ameolewa rasmi na watoto wamechukuliwa Ruge kabaki uchiiiiii.. Haaaaaaa hiyo sio kalewa ni sauti yake ya uchungu koo limebana hasira na maumivu ya kuchukuliwa mke kihalali wala sio kaibiwa, Zama kachukuliwa kihalali sasa koo la Ruge hewa inashindwa kupita kwa uchungu na hasira na pressure na kulia na moyo unataka kutoka, kachanganyikiwa, kapanic, anadhani anaota akicheki ni kweli, so sio kalewa ni uchunguuu huooo.. Hhaaaaa, unafikiri ROHO ikikaribia kuacha mwili sbb ya mapenzi ni kazi rahisiii haaaaaa hakuna kulewa hapo Ruge kuvurugwaaaaaa 100%, msumari wa motoooo wa mapenzi umempata katikati ya moyooo na kumchana chana paaaapp..!! anaona gizaaaa kabaki mtupuuuuuu mmmaninaaaaaahh... Hujasikia hapo anasema anatoka nje atembee UCHI.. Haaaa haaaaaaaaa haaaa i feel so happy
Heee makubwa
 
kunawatu siku hzi wanaacha kuwa wabunifu,wanajitungia tuvideo vya ajabu ajabu na kupost you tube ili kuwahamasiha watu watazame,yani ni urongo wa kiwango cha hali ya juu, na ni aibu kwa mtu mzima kuamua kufanya mambo ya kihuni,
 
Una video?au unabwabwaja tu.una uhakika gani kama huko atatulia..kwanza kumzalia mwanaume watoto wawili wakati hajakuoa ni upunguani mkubwa..
We nae umefufuka wapi unatokwa na povu kama umekula omo ....mxiiiiiieeew ntolee wazimu wako hapa
 
nimecheka mpaka mchizi yaaani Ruge huyu Mhaya ninayemfahamu kamwaga chozi kisa uchi?
Ama dada Zamaradi alikuwa na utamu wa tofauti!

My Take
Nimefanikiwa kuzungumza na Mketema zaidi ya mara 10, yule dada ni mwanamke aisee, ni wife material vijana wa mjini wanasema. Binafsi namtakia kila jema katika maisha yake.
 
Kama umeolewa kwa jazba utaachika tu kwa jazba.

Mwacheni baba wa watu alie, kwani machozi kazi yake ni nini?
 
Ruge ni jamii ya wanaume wa dar hivyo siwezi kumshangaa anabyolilia mbunye
 
Hahahahaha wabongo nnavyowajua hawachelewi kutunga maneno yao kama vile "baby unataka na mm nilie kama boss Ruge?"(in Wema's voice)
 
Lazima ni ya kabla ya ndoa aliiweka aje atafute kiki kwa mzazi mwenzie
Kwa hizi comments zako kwa mwanamke mwenzio bhasi nashawishika kuamini mkono wa Bashite umehusika kama shilawadu walivyoripoti,huwezi kuwa na maneno makali hivi kwa mwanamke mwenzio...
 
Mapenzi yanauma na ukijua wameishakuwa na watoto.Ruge anawaza namna ambavyo watoto watapata shida na mazingira mapya.We acha tu.Pole Ruge mwaya
 
Ruge ana danguro kalihita THT. Pale anasomba tu. Bashite aliwai kusema watu wakapuuzia. Sasa wataanza kuamini ya Bashitte.
 
kuna kale ka wimbo sijui kaimba nani.. melody yake ipo ivi.. ukiona mtu mzima analia mbele za watu ujue kuna jambo
 
Uzuri wa Zamaradi, hana cha kutest mitambo wala nini, yeye ANAWASHA TU.
 
Back
Top Bottom