Haki za mteja wa chakula hotelini au mgahawani zikoje?

Acha kufikiria kutembea na nywele na nzi ili kukwepa kulipia huduma bwana mdogo (jokes)
Japo hawafanyi kusudi ila Inatia kinyaa sana lakini kuwa tu mstaarabu kama hujakila(sana) usilipe,warudishie chakula chao,ila kama umekula vimebaki vijiko viwili ndio ukaiona dosari lipa tu.
 
Hapo ndipo hekima ya mwenye mgahawa na mteja ndipo zinapotakiwa zitumike!, kwa mwenye mgahawa ni anatakiwa akuombe radhi na sidhani kama ni hekima kumlipisha mtu huyo!.
kwa wewe mteja uchaguzi wakulipa upo juu yako inategemea na utakavyochukulia nakuamua kulitilia maanani hata kufika hatua yakuita ma bibi au bwana afya!.
ila hekima moja inatakiwa uitumie kama umekuwa ukila hapo na mara hiyo ndo yakwanza kujitokeza nafikiri unaweza kusamehe tu na ukalipa!, maana hakuna aliekamilika muda mwengine huwa wanazongwa na order huwa ni nyingi hivyo ule umakini hupungua na ndipo hapohapo hufanyika makosa!.

ila kwa mwenye hotel ama mgahawa akilitambua hilo ni vyema kwenda extra mile kuhamasisha wafanyakazi wako wazingatie usafi, umaridadi na uyakinifu.. vilevile kama ni swala la wadudu basi unatakiwa uwe kila wiki unapiga dawa katika sehemu yako yakazi!..
na ukiona vyema huyo mteja unaweza ukampa offer ya kula mlo mmoja bure kwa siku nyengine atakayojisikia kuja na aandaliwe vizuri.
lakini najua kwenye migahawa hii yakwetu uswahili hawafanyi hivi it's very local, ila navyofahamu kwa hotel huwa wanatoa offer tena kama wanaona umemind sana unaweza kupata offer babu kubwa!.. unaweza hata kupigwa offer ya special dinner wewe na mwenza wako mnaandaliwa mtakula nakunywa mtatoka mkiwa hivi...😁
 
Hii imekaa vizuri
 
Kesi hiyo unapiga pesa ya the tort of negligence. Refer kesi ya Donoghue v. Stenenson [1932] AC 562.
Kumbe inawezekana kudai fidia kisheria!
 
Matapeli wengi hizo zinaonekana mbinu za kukwepa kulipia chakula
 
donoghue v stevenson
Umeni kumbusha mbali case kama hio
 
Kumbe inawezekana kudai fidia kisheria!
Inawezekana sana tu, Tanzania ishawahi tokea kwenye kesi ya Belson Mbezibwa v. Coca Cola Kwanza, yale yalioainishwa kwenye kesi ya Donoghue v. Stevenson yaliadaptiwa Tanzania.
 
Back
Top Bottom