Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwanza kabisa ni kwamba mipango yote ya ccm inapangwa na watu walewale na kiukweli ccm haiwezi kutunza siri , taarifa ya Jokate, Mongella na Makalla nimevujishiwa jana saa 5 usiku, nilinyamaza tu kwa vile niliona labda kila mtu anajua kwahiyo haitakuwa habari, Kitendo cha Chama hiki kutokutunza siri zake ni matundu yanayoweza kukiletea matatizo, aliyenipa taarifa zile ni mtu mdogo sana huko CCM, lakini aliweza kupata taarifa za wakubwa na kuvujisha almost 24hrs kabla ya Tangazo rasmi kutolewa , Haya ni mapungufu .
Lingine ni hili, wote walioteuliwa hawana jipya, hivi Mongella ana lipi zaidi ya kuwa mtoto wa kiongozi?
Huyu katika utumishi wake hajawahi kuwa na mahusiano mazuri na watumishi wenzake pote alipopita , alilindwa na mfumo tu , hebu mfuatilieni kila alipopita , huyu kuwekwa kwenye ofisi ya katibu mkuu ni kama kumficha ili asifurukute maana hakuna atakachoamua wala hakuna Saluti alizozizoea atapigiwa huko , hana ushawishi na wala hakuwahi kuwa nao .
Pedeshee Amos Makalla anaweza kueneza nini kwenye nchi hii kutoka ccm ? Ni nani atamsikiliza Makalla na kumuamini ? Nani asiyemjua Makalla hadi aingie mkenge kumsikiliza ?
Sasa funga kazi ni haya ya Jokate , yaani hiki ndio kituko kikubwa zaidi .
Huyu Juzi alikuwa Mama , akapelekwa UWT , sasa leo CCM imejua kwamba bado ni Msichana , imemrudisha UVCCM ! as if kuna ccm mbili ! moja ina macho nyingine inatumia miwani .
Ambacho ccm imesahau ni kuhusu watu wanaomuunga mkono Jokate, hawa wengi ni marafiki zake Jokate na kwa kweli si vijana , ni wadada wakubwa waliochoka kutokana na kutumika sana kwenye mambo kadha wa kadha , sifa yao kubwa ni kufake maisha ya daraja la juu, kwa kufupisha ni kwamba hakuna Mama yoyote Tanzania ambaye angependa mwanaye wa kike awe na uhusiano na kundi la wadada wanaomuunga mkono Jokate , hii ni kutokana na Tabia zao za hadharani na gizani, mitandaoni na mitaani , nani asiyewajua? Kwa kundi kama hili kulileta mitaani ili lishawishi vijana waiunge mkono ccm ni sawa na Kumkufuru Mungu ( Iko siku nitafunguka zaidi).
Mwisho sitapoteza muda kumjadili Ally Happy.
NOTE : Mwandishi wa Makala hii ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa hapa JF , hana maslahi yoyote wala mgogoro wowote na Wateuliwa
NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO
Lingine ni hili, wote walioteuliwa hawana jipya, hivi Mongella ana lipi zaidi ya kuwa mtoto wa kiongozi?
Huyu katika utumishi wake hajawahi kuwa na mahusiano mazuri na watumishi wenzake pote alipopita , alilindwa na mfumo tu , hebu mfuatilieni kila alipopita , huyu kuwekwa kwenye ofisi ya katibu mkuu ni kama kumficha ili asifurukute maana hakuna atakachoamua wala hakuna Saluti alizozizoea atapigiwa huko , hana ushawishi na wala hakuwahi kuwa nao .
Pedeshee Amos Makalla anaweza kueneza nini kwenye nchi hii kutoka ccm ? Ni nani atamsikiliza Makalla na kumuamini ? Nani asiyemjua Makalla hadi aingie mkenge kumsikiliza ?
Nimejiridhisha kwamba ccm haina viongozi au labda haitegemei viongozi wake kwenye lolote , wako inaowategemea , hawa hawawezi kuipeleka popote ccm , hawana ushawishi wowote ule, Makalla ameshindwa kila mahali alikopelekwa pamoja na kubebwa na mbeleko ya Chuma kutoka Chalinze .Sasa funga kazi ni haya ya Jokate , yaani hiki ndio kituko kikubwa zaidi .