Sasa kama CCM ipo kwenye mioyo ya watu kwanini mnawatuma polisi wavuruge vikao vya ndani yavyama vya upinzani??
Mnaogopa nini hasa??
Aisee hizi post mnazozianzisha humu Lumumba nafikiri hata nyie uwa mnajicheka
Kazi mnayo mafisi wasubiri mizoga!Labda kipo moyoni mwako wewe taga
Mkutano gani uliovurugwa,mnaandaa wavuta banghi mnasema mkutano umevurugwa!
Wewe pia unafuatilia kwa karibu!
Hujitambui
Polisi wanatumwa wamekuwa majini!!
Labda wanatumwa kule kwenu kwa Mungiki
Ndio maana miaka nenda hamna hoja za kumtoa mfalme mswati anamtayarisha mwanawe kuongoza saccos!Hao wote ni mazuzu tu hawana hoja wala akili ya kuzijenga hoja
Wahuni wa ufipa hao kwani nani hakumbuki matukio yenu ya kutengeneza mlizika mbwa bila aibu kutaka kuhalalisha upuuzi tu!
Mnadhihirisha hukutaka kukosa kila kilichojiri!Wewe mwenyewe umewacha lini kuvuta bange? Hongera sana maana leo naona umefanikiwa kucheza ngoma ya gobogobo pale dodoma kumfurahisha mwenyekiti wako.
Punguzeni kufuatilia mambo ya sisiemu, yaani updates jana na leo za mikutano ya sisiemu tulikuw tunapata toka bavicha ma mpaka sasa bado mnatupatia zaidi hata ya polepole aliyepaswa kufanya hii kazi
Umma wa kulia chakula au kuzolea taka kama una maanisha watu unaota!
Huwezi amini nimepita kwenye media zote, kwenye mitandao ya kijamii.
Kila account ya MwanaCHADEMA wameweka matatizo yao pembeni wanazungumzia CCM chama dume.
Kufuatia mkutano wao mkuu ulioandaliwa mahususi na ufanisi mkubwa kumpata mpeperushaji wa bendera ya Uraisi Jamhuri ya Muungano na visiwani Zanzibar
Hii inadhihirisha ukongwe wa chama hiki na nini kinafanya ili waige yale yote
Kweli CCM itabaki juu daima
Mazoezi yako ya kujikinga na polisi!Upotolo mtupu
Chadema wakati janga la corona limeshika kasi walikua wananunua majeneza halafu usiku wanaenda makaburini kupiga picha kuwa kuna watu wengi sana wanakufa,wanazikwa usiku kwa kificho
Mtulie sasa zamu ya wenzenu Sasa mlivyo waoga hata bendera mnaogoa sijui mtafanyaje lkn ndio hivyo hatutaki bundukiHuwezi amini nimepita kwenye media zote, kwenye mitandao ya kijamii.
Kila account ya MwanaCHADEMA wameweka matatizo yao pembeni wanazungumzia CCM chama dume.
Kufuatia mkutano wao mkuu ulioandaliwa mahususi na ufanisi mkubwa kumpata mpeperushaji wa bendera ya Uraisi Jamhuri ya Muungano na visiwani Zanzibar
Hii inadhihirisha ukongwe wa chama hiki na nini kinafanya ili waige yale yote
Kweli CCM itabaki juu daima
Ndio dunia ilivyo unafikiri kwani hampendi mambo mazuri ndio hivyo mmeamua kupenda visivyokubalika!Hata madictator kama kina Hitler, Mussolini, Iddy Amin nk walikuwa wanazungumziwa sana. Kisia ilikuwa wanazungumziwa nini.
Ndio maana miaka nenda hamna hoja za kumtoa mfalme mswati anamtayarisha mwanawe kuongoza saccos!
vikao kama havifuati utaratibu unataka viachwe?Sasa kama CCM ipo kwenye mioyo ya watu kwanini mnawatuma polisi wavuruge vikao vya ndani yavyama vya upinzani??
Mnaogopa nini hasa??
Hukucheza ngoma leo?Mnadhihirisha hukutaka kukosa kila kilichojiri!