Uchaguzi 2020 Hakika Chama Cha Mapinduzi kipo mioyoni mwa watu

Uchaguzi 2020 Hakika Chama Cha Mapinduzi kipo mioyoni mwa watu

Wewe mwenyewe umewacha lini kuvuta bange? Hongera sana maana leo naona umefanikiwa kucheza ngoma ya gobogobo pale dodoma kumfurahisha mwenyekiti wako.
Mkutano gani uliovurugwa,mnaandaa wavuta banghi mnasema mkutano umevurugwa!
 
Nakuona unavyo mshangaa shemeji yako alivyo kufukuza kutoka nyumbani kwake.
Wahuni wa ufipa hao kwani nani hakumbuki matukio yenu ya kutengeneza mlizika mbwa bila aibu kutaka kuhalalisha upuuzi tu!
FB_IMG_1592833724511.jpeg
 
Wewe mwenyewe umewacha lini kuvuta bange? Hongera sana maana leo naona umefanikiwa kucheza ngoma ya gobogobo pale dodoma kumfurahisha mwenyekiti wako.
Mnadhihirisha hukutaka kukosa kila kilichojiri!
 
Tuliza mzuka wewe taga
Punguzeni kufuatilia mambo ya sisiemu, yaani updates jana na leo za mikutano ya sisiemu tulikuw tunapata toka bavicha ma mpaka sasa bado mnatupatia zaidi hata ya polepole aliyepaswa kufanya hii kazi
 
Huwezi amini nimepita kwenye media zote, kwenye mitandao ya kijamii.

Kila account ya MwanaCHADEMA wameweka matatizo yao pembeni wanazungumzia CCM chama dume.

Kufuatia mkutano wao mkuu ulioandaliwa mahususi na ufanisi mkubwa kumpata mpeperushaji wa bendera ya Uraisi Jamhuri ya Muungano na visiwani Zanzibar

Hii inadhihirisha ukongwe wa chama hiki na nini kinafanya ili waige yale yote
Kweli CCM itabaki juu daima

Hata madictator kama kina Hitler, Mussolini, Iddy Amin nk walikuwa wanazungumziwa sana. Kisia ilikuwa wanazungumziwa nini.
 
Pipa na funiko mnapongezana
Chadema wakati janga la corona limeshika kasi walikua wananunua majeneza halafu usiku wanaenda makaburini kupiga picha kuwa kuna watu wengi sana wanakufa,wanazikwa usiku kwa kificho
 
Huwezi amini nimepita kwenye media zote, kwenye mitandao ya kijamii.

Kila account ya MwanaCHADEMA wameweka matatizo yao pembeni wanazungumzia CCM chama dume.

Kufuatia mkutano wao mkuu ulioandaliwa mahususi na ufanisi mkubwa kumpata mpeperushaji wa bendera ya Uraisi Jamhuri ya Muungano na visiwani Zanzibar

Hii inadhihirisha ukongwe wa chama hiki na nini kinafanya ili waige yale yote
Kweli CCM itabaki juu daima
Mtulie sasa zamu ya wenzenu Sasa mlivyo waoga hata bendera mnaogoa sijui mtafanyaje lkn ndio hivyo hatutaki bunduki
 
Hata madictator kama kina Hitler, Mussolini, Iddy Amin nk walikuwa wanazungumziwa sana. Kisia ilikuwa wanazungumziwa nini.
Ndio dunia ilivyo unafikiri kwani hampendi mambo mazuri ndio hivyo mmeamua kupenda visivyokubalika!
 
Back
Top Bottom