kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
-
- #101
Sultan yupo maana yule naona kaamua kung'oa kipengele cha ukomo!Vipi usultani wa kiarabu kule zenji yaani viti mnapeana utadhani hakuna mzenji mwingine anayeweza kuongoza!
ccm kipo ndani ya mioyo ya mavi
Maneno ya ukakasi ndio hoja mlizobaki nazo!
Huwezi amini nimepita kwenye media zote, kwenye mitandao ya kijamii.
Kila account ya MwanaCHADEMA wameweka matatizo yao pembeni wanazungumzia CCM chama dume.
Kufuatia mkutano wao mkuu ulioandaliwa mahususi na ufanisi mkubwa kumpata mpeperushaji wa bendera ya Uraisi Jamhuri ya Muungano na visiwani Zanzibar
Hii inadhihirisha ukongwe wa chama hiki na nini kinafanya ili waige yale yote
Kweli CCM itabaki juu daima
Msiba wa mbwa kitaifa!
Mods.. kwann mnaacha utumbo Kama huu kujaza server??Huwezi amini nimepita kwenye media zote, kwenye mitandao ya kijamii.
Kila account ya MwanaCHADEMA wameweka matatizo yao pembeni wanazungumzia CCM chama dume.
Kufuatia mkutano wao mkuu ulioandaliwa mahususi na ufanisi mkubwa kumpata mpeperushaji wa bendera ya Uraisi Jamhuri ya Muungano na visiwani Zanzibar
Hii inadhihirisha ukongwe wa chama hiki na nini kinafanya ili waige yale yote
Kweli CCM itabaki juu daima
Una uhakika na unachosemaSasa kama CCM ipo kwenye mioyo ya watu kwanini mnawatuma polisi wavuruge vikao vya ndani yavyama vya upinzani??
Mnaogopa nini hasa??
Eti ZERO DJ! unataka kumaanisha nani? Au ni Mbowe kama mnavyo muita?Wewe ulijihesabu na nani!!
Mwenye Akili anajihesabu !!
Mwenye Akili anaweza ongozwa na ZERO DJ!!
WW unaakili wapi uliona Akili ndogo kuongoza Akili kubwa!!
Jitambue kibendera Fuata upepo
Sultan yupo maana yule naona kaamua kung'oa kipengele cha ukomo!
Tatizo ulanzi ushafanya yakeKweli ulanzi co chai,kanyoe hcho kipara cha zaman
Uchaguzi wa CCM hata haukuwa na maana!
Ukitaka uelewa vizuri, nenda mitaani usikie kinachosemwa
na watu hasa Wana-CCM wenyewe
Una uhakika na unachosema
Eti kachaguliwa kwa 100%[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1504302
Mzee wa kupita bila kupingwa
Karibu JF.Una uhakika na unachosema
Walipokutana kujuliana hali wodini mirembe![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unamzungumziaje chairman wa maisha!View attachment 1504302
Mzee wa kupita bila kupingwa