HahahaaWeka picha ya hicho kibanda chako cha urithi hapa
Halafu anajifanya kubeti bila ditel za maana hapa au anataka watu wanaokoment ajione nae kaja na post ya maanaAm in, tuma picha ya nyumba kwanza na location, Isije kuwa ipo kibiti huko
Lakini hii mechi ni ngumu jamani, hao Juventus kwa kulinda goli lao hawajambo. Mimi sisemi, nasubiriMadrid sio wa kuwachukulia poa. Tena JUVE wakilegea wanaweza kuoga mabao
Naweka mzigo kwa Juve, kama madrid akiifunga Juve naenda kunya pale getini Lugalo.Habarini Wadau,
Kwa mshabiki nguli yeyote wa soka (Die hard fan) wa Juventus namkaribisha tu bet.
Mimi ninaweka nyumba yangu kubwa mezani na yeye aweke tu elfu 50 tu.
Hivi vibibi vya Turin ndio vimeishia kuipiga Lazio...ila kwa Madrid wanaenda kufunzwa adabu hao watoto.
Anybody to bet ? [emoji12]
mkuu unachuki na viungo vyako vya mwili hadi ukakate gogo kwa walinzi wetu wa taifa.Naweka mzigo kwa Juve, kama madrid akiifunga Juve naenda kunya pale getini Lugalo.
Nitajilipua ikitokea hivyo, najua watanivunja viungo ikitokea hivyo ila nina uhakika Madrid hashindi.mkuu unachuki na viungo vyako vya mwili hadi ukakate gogo kwa walinzi wetu wa taifa.
Madrid ikiifunga Juve tuvae jezi za sisiemu huko kibiti.Madrid akimfunga juve naenda kuishi kibiti nakuwa mkuu wa tawi la juu wa ccm pale kibiti
Mkuu tuvae tshet kubwa ya picha ya magufuliMadrid ikiifunga Juve tuvae jezi za sisiemu huko kibiti.