HAKIKA: Juventus ikimfunga Madrid UEFA naitoa nyumba yangu bure.

HAKIKA: Juventus ikimfunga Madrid UEFA naitoa nyumba yangu bure.

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
28,916
Reaction score
40,479
Habarini Wadau,

Kwa mshabiki nguli yeyote wa soka (Die hard fan) wa Juventus namkaribisha tu bet.

Mimi ninaweka nyumba yangu kubwa mezani na yeye aweke elfu 50 tu.

Hivi vibibi vya Turin ndio vimeishia kuipiga Lazio...ila kwa Madrid wanaenda kufunzwa adabu hao watoto.

Anybody to bet ? [emoji12]
 
kuna mwenzako alisema ZITO kama angeludi bungeni 2015 bhas angejisaida haja kubwa hadhalani kwa mafungu toka kibaha mjini hadi posta mpya...huyu jamaa mpaka leo sionag post zake kwa sana kama zaman na akipost huwa anapost kiupole sana so nahofia na ww yasikukute bro
 
Habarini Wadau,

Kwa mshabiki nguli yeyote wa soka (Die hard fan) wa Juventus namkaribisha tu bet.

Mimi ninaweka nyumba yangu kubwa mezani na yeye aweke tu elfu 50 tu.

Hivi vibibi vya Turin ndio vimeishia kuipiga Lazio...ila kwa Madrid wanaenda kufunzwa adabu hao watoto.

Anybody to bet ? [emoji12]
Naweka mzigo kwa Juve, kama madrid akiifunga Juve naenda kunya pale getini Lugalo.
 
Wewe huna nyumba aisee
tena Nyumba sio mchezo mchezo
 
Back
Top Bottom