barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Wakati Higuain kakosa hayo kumi, Dybala keshafanya yake.kweli ulinzi siwaamini sana ila hakuna hofu maana HIguain hadi afunge goli moja inabidi akose kumi.
Kwa kutafuta Goli Madrid wako vizuri. Yote maneno ngoja tusubiri kitu mubashara...
Poa mkuu ngoja nichukue na kadi yangu mapemaJiandae kwahilo mkuu.
zidane anataka avunje record hiyoZamani ipi unayoongelea wewe?Mwaka juzi Juve anacheza final na barca uliona alichowafanya Madrid?
Kwanza nimesahau,UEFA haitetewagi.
Mwanangu si tumepanga kwenye nyumba mojaHebu thibitisha kuwa sina.
Huyo juve ndo mechi 7 mfululizo za uefa karuhusu goli moja tu la Monaco bado una mashaka naye?Mkuu hakuna kiungo hovyo kama ya Juve tokea aondoke Pogba.
Yaan ball position wataachwa mbali na bado watapigwa goli kuanzia 3.
Cr7 kama kawa....!
Sasa unataka kugawa nyumba ya babako?? Jipinde ugawe yako!Ninapanga wapi? Una uthibitisho?
Sijawahi kupanga tangu nizaliwe mkuu.
Huyo aliyekupangisha, kwani nina hakika kuwa kama ingekuwa ni yako kweli, usingejaribu kuichezea kamari..Yupi?