HAKIKA: Juventus ikimfunga Madrid UEFA naitoa nyumba yangu bure.

Madrid akimfunga juve naenda kuishi kibiti nakuwa mkuu wa tawi la juu wa ccm pale kibiti
unawezaje kufanya utani na ishu ya kibiti wakati kuna watanzania wenzako 31 wameshapoteza maisha? haikufikirishi?? WATANZANIA WENZAKO 31
 


Nyumba ni mali ya familia bwana, wewe kacheze kamali huko sportbetting na uchezee gari yako sio nyumba!
 
weka akiba ya maneno. angalia usije ukavaa chupi kichwani.
 
Mkuu umepima ugonjwa wa moyo kwanza....maana unaweza kufa na nyumba hujakabidhi..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
sikuizi tunaambiwa kuwa na akiba ya maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…