HAKIKA: Juventus ikimfunga Madrid UEFA naitoa nyumba yangu bure.


Acha uongo
 
huyo mme wa dada ako atakubali uuze nyumba yake?!
 
Haa ha haa yan yote
Unataka tu na ww uonekane umepost uz wa maana
Kwa kua wachangiaj n
Weng

Viva juve
Rest in peace Madrid June 3
 
haya mambo yananikumbusha mechi ya Barca nilisena akirudisha ma 4 ntahamia Cong Drc, kilicho nikuta mpaka leo niko bukavu
 
Tuanzie hapa kwanza…
Madrid 6-2 Napoli
Madrid 6-3 B.munich
Madrid 4-2 Atletico
Madrid 4-0 Granada
Madrid 6-2 Derpotivo
Madrid 4-1 Valencia
Madrid 4-1 Celta Vigo(Hawa waliahidiwa bonus na Barcelona iwapo wangeshinda hii game ila CR kwa msaada wa Isco kapiga 2)

Madrid ?-? Juventus
Numbers never lie!!
 
Nasubir wachamnuzi waje maana kila tim ina madhaifu yake na mazuri yake
 
Zazle...[emoji780]

Uridh [emoji117] Urithi

Kwanini usijifunze kwanza kuandika vizuri mkuu?
Hayo n makosa ya keyboard
Mkuu?

Embu pc ya nyumba bhas tuweke mzgi
 
msiangaike na lichizi hili akina nyumba wala kibanda apo alipo anakaa kwa mama ake labda atoe nyumba ya urithi mda umefika uhame katafute maisha
 
msiangaike na lichizi hili akina nyumba wala kibanda apo alipo anakaa kwa mama ake labda atoe nyumba ya urithi mda umefika uhame katafute maisha
Akina [emoji117] Hana

Wewe hata kuandika vizuri hujui si ndio chizi kabisa

Punguza povu, kama unaishi kwa mama yako basi ni wewe bibie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…