macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hizi elimu za kukariri hizi! Mimi nimeelezea mlolongo wa matukio kulingana na simulizi zake ndiyo nikafikia conclusion. Kwa nini unakuwa mpumbavu kiasi hiki? Idiot! Jaribu kusoma kwa ufahamu.Unaona ulivyo mpuuzi wewe umekanusha kuwa hakuna kitu kama hicho halafu saivi unasema eti kijijini swekeni
Ni nani alithibitisha kifo cha shemeji yako? Mliwezaje kupricess mazishi bila tangazo la kifo?Mamo majira ya saa 4 za usiku hali ilibadilika ghafla na kupelekea Shemeji yangu huyo kuanza kutapika damu mbichi kabisa mfululizo na wakati tukimkimbiza hospitali ile ile alokuwa kalazwa kwa zaidi ya wiki 2 alifariki tukiwa njiani.
Mwamba sijui nini kinaendelea kichwani,maana Hilo jicho!!
Ona jinga hili zezeta kabisa.Ujuaji mwingiiii kumbe jamaa hajui lolote. Mpotezee Mkuu !
Aiseh! NDIO maana jemedari makonda ameanza kazi rasmi!atumbue majipu kama hayo!!
Mkuu naikumbuka ile ya wagonjwa wa oparesheni ya Kichwa na goti ilivyofanywa vice-versa na kupelekea Mtu kupoteza maisha kwa negligence ya Daktari.Kisa kilitokea hapo MNH wiki mbili zimepita, ila ngoja kwanza. Hii ni nchi iliyooza, amini nakuambia taasisi nyingi za kiserikali zimeoza, usipokuwa makini unaweza kukatwa hata bandama lako ambalo ni zima kabisa.
Mkuu tulirudi na alikuja hapo home mtaani kwetu na kweli alithibitisha hilo, sema tu sikuandika na tulipata cheti cha kifo na kibali cha kusafirisha mwili.
Mkuu, katika habari yako kuna jambo limenishangaza, kwahiyo mlikuwa mnamkimbiza hospitali mkagundua amefariki mkaamua kurudi nae nyumban? Ni nani alithibitisha kwamba amekufa?
Mimi hili la kuthibitisha ndugu yako amekufa na sio Daktari ndio limenishangaza na wala sio hiyo kauli, rushwa ni kawaida kwenye nchi yetu kwa sasa.