Hakika kauli hii ilinishangaza

Hakika kauli hii ilinishangaza

Unaona ulivyo mpuuzi wewe umekanusha kuwa hakuna kitu kama hicho halafu saivi unasema eti kijijini swekeni
Hizi elimu za kukariri hizi! Mimi nimeelezea mlolongo wa matukio kulingana na simulizi zake ndiyo nikafikia conclusion. Kwa nini unakuwa mpumbavu kiasi hiki? Idiot! Jaribu kusoma kwa ufahamu.
 
Mamo majira ya saa 4 za usiku hali ilibadilika ghafla na kupelekea Shemeji yangu huyo kuanza kutapika damu mbichi kabisa mfululizo na wakati tukimkimbiza hospitali ile ile alokuwa kalazwa kwa zaidi ya wiki 2 alifariki tukiwa njiani.
Ni nani alithibitisha kifo cha shemeji yako? Mliwezaje kupricess mazishi bila tangazo la kifo?
 
Mkuu, katika habari yako kuna jambo limenishangaza, kwahiyo mlikuwa mnamkimbiza hospitali mkagundua amefariki mkaamua kurudi nae nyumban? Ni nani alithibitisha kwamba amekufa?

Mimi hili la kuthibitisha ndugu yako amekufa na sio Daktari ndio limenishangaza na wala sio hiyo kauli, rushwa ni kawaida kwenye nchi yetu kwa sasa.
 
Kisa kilitokea hapo MNH wiki mbili zimepita, ila ngoja kwanza. Hii ni nchi iliyooza, amini nakuambia taasisi nyingi za kiserikali zimeoza, usipokuwa makini unaweza kukatwa hata bandama lako ambalo ni zima kabisa.
Mkuu naikumbuka ile ya wagonjwa wa oparesheni ya Kichwa na goti ilivyofanywa vice-versa na kupelekea Mtu kupoteza maisha kwa negligence ya Daktari.
 
Mkuu, katika habari yako kuna jambo limenishangaza, kwahiyo mlikuwa mnamkimbiza hospitali mkagundua amefariki mkaamua kurudi nae nyumban? Ni nani alithibitisha kwamba amekufa?

Mimi hili la kuthibitisha ndugu yako amekufa na sio Daktari ndio limenishangaza na wala sio hiyo kauli, rushwa ni kawaida kwenye nchi yetu kwa sasa.
Mkuu tulirudi na alikuja hapo home mtaani kwetu na kweli alithibitisha hilo, sema tu sikuandika na tulipata cheti cha kifo na kibali cha kusafirisha mwili.
 
Back
Top Bottom