Hakika Mungu akishakupangia hakuna wa kupangua! Hongera Jakaya Kikwete

Hakika Mungu akishakupangia hakuna wa kupangua! Hongera Jakaya Kikwete

Ni nadra kupita siku bila kutukanwa huyu mzee, kama sio thread basi comments za wadau.....lkn lazima atukanwe!
Ni nadra kupita siku bila familia ya huyu mzee kutukanwa.
Ni nadra kupita siku bila utawala wake uliopita kudhihakiwa...dhihaka zenye kukera kabisa zingine. Aliyotafanya au kuyaasisi yote anapewa mpendwa wao!
Ni nadra kupita siku bila, zaidi ya mara moja, mtu huyu kutukaniwa watu aliowahi kufanya nao kazi....yaani kama ulifanya kazi na jk humu usipite.......yote yanayowakuta kina makamba na nchemba ni kwakuwa tu walidanya kazi na jk.
Ni nadra kupita siku bila kuendelea kuzushiwa huyu mzee na mambo ya ajabu na mazito kwelikweli......kuzushiwa kuua mtu si jambo dogo! Amechukuliwa mpaka picha yake akiwa ibadan, Mekka, na mkewe na marafiki na kunasibisha na habari zao za kisheitwani walizotunga.
N.K

Wakati hayo yote yakifanyika kwa lengo la kumchafua mbele ya taifa na mataifa na kimataida; asinoge, anuke, asahaulike, apuuzwe n.k., Mungu amesema hapana na huyooo wamemchukua kusimamia uchaguzi muhimu wa Kenya.......mpaka sasa mambo yanaonekana kwenda vizuri.
Viongozi wametawala kabla na baada ya yeye, lakini ni yeye tu anaesakamwa kwa maovu, una sababu ya kujiuliza na si kumhurumia. To every cause there is a reason.
 
Humpunguzii chochote kapuku wewe unayenuka umasikini.

Jakaya Kikwete ndiye Rais bora kabisa kutokea nchi hii tangu uhuru akifuatuwa na Rais Samia.

Kwa kauli zako tu hizi unaonekana na masikini unayetaka kumtupia JK lawama za uvivu wako uliopelekea umasikini wako.

JK dunia inamjua vizuri kwa utawala wake uliotukuka kwa kuwaleta Watanzania pamoja, mpinzani wa kisiasa alipewa haki sawa na mwana ccm.
Mawazo yako yanapingana na mwanzilishi wa hoja. Yeye anamhurumia jinsi anavyoonekan vibaya mbele ya jamii, wewe unaona hapungukiwi lolote kw hayo.
 
Vizuri, kuna thread humu leo inatembea inayohusu habari hiyo.....imeelezea % zilizofikiwa na zilizobaki na changamoto zake. Kukata mzizi wa fitina, na picha zipo ili muelezane vizuri huku ni uzushi upi sasa mtoke nao!
So Crane la tani 26 limefika wapi?
 
Pascal had the Thomases like you in mind when he came up with his wager!
Wagers are probabilistic for people who are not certain, you are basically saying you are gambling on the question of the existence of God, because you are uncertain.

Basically you are saying you do not know if God exists. If you knew God exists, you would do more than wager.

You are just proving my point that you cannot prove God exists.
 
God isn’t your fellow human being. What makes sense to Him doesn’t have to make sense to you!
God isn't my fellow human being, right. Because he does not exist, he is just a figment of imagination.

This is why you cannot prove God exists.
 
Back
Top Bottom