Hakika Mungu akishakupangia hakuna wa kupangua! Hongera Jakaya Kikwete

Si mbaya kujaribu kutafuta kauli za kujifariji.....hata kama zitakuwa dhaifu lkn si mbaya!

Impact ya kiongozi kwa jamii ndiyo kipimo sahihi cha urefu wa maisha yake. Kuna manungayembe yataishi zaidi ya miaka mia moja, lakini yatakayofanya duniani hayafikii hata nusu ya yale yaliyofanywa na impactful people walioishi miaka 50!
 
We know too little to make any credible argument regarding the existence of God. As a matter of fact, it serves no purpose to require a robot to prove to another robot that there’s a robot engineer who designed and made them!
Your analogy is not fitting, we know a robot has an engineer who designed it.

But you already said we know too little to make any credible argument regarding the existence of God.

So, why do people say God exists if we know too litle to make any credible argument regarding the existence of God?
 
My analogy is perfectly fitting. You’re requiring a robot to prove to another robot that the robots have an engineer who designed them.

All we need to do is acknowledge our ignorance. That’s enough!
 
Unafananisha mfano wa robot kujua engineer aliyem design ambaye tunajua yupo, na mtu kujua Mungu ambaye hatujui yupo.

Unafanya analogy kwa vitu visivyo na uwiano. Unaanza na assumption a priori kwamba Mungu yupo, bila ushahidi.

Halafu unasema tu acknowledge our ignorance.

Bila kujua kwamba, tuki acknowledge our ignorance, hatutakiwi kusema Mungu yupo, tena kwa a priori assumption.

Kwa sababu hakuna chochote kinachotuthibitishia Mungu yupo.

Unaji contradict mwenyewe!
 
We know too little to make any credible argument regarding the existence of God. As a matter of fact, it serves no purpose to require a robot to prove to another robot that there’s a robot engineer who designed and made them!

Even a robot can prove indirectly to the people of thinking on existence of an engineer who made it, it is people who are supposed to know all that due to their intelligence in the same line of thinking one can deduct that men are also created along with other animals etc.--- whatever the name you call Him, Creator must be existing, unfortunately people with poor thinking or rather egos fail to grasp.
 
Kuna wengine wanaachwa waishi miaka mingi ili waendelee kutumika na kuwa mfano kwa walio hai (e.g mandela) na wengine wanaondolewa mapema kwakuwa uwepo wao ungeleta hasara zaidi kwa nchi kuliko faida (eg Hitler)
 
Unafananisha mfano wa robot kujua engineer aliyem design ambaye tunajua yupo, na mtu kujua Mungu ambaye hatujui yupo.

Unafanya analogy kwa vitu visivyo na uwiano. Unaanza na assumption a priori kwamba Mungu yupo, bila ushahidi.

Halafu unasema tu acknowledge our ignorance.

Bila kujua kwamba, tuki acknowledge our ignorance, hatutakiwi kusema Mungu yupo, tena kwa a priori assumption.

Kwa sababu hakuna chochote kinachotuthibitishia Mungu yupo.

Unaji contradict mwenyewe!

Hujaelewa. You know robots have an engineer, but you aren’t a robot! Tatizo lako ni kama kutaka robot ithibitishe kwa robot mwenzake kwamba kuna robot engineer aliyewatengeneza!

We are ignorant. There is no doubt about that. However, a prudent person would rather err on the side of caution by accepting an argument that God exists. It’s reckless to dismiss the existence of God just because you cannot (and no one has been able to) prove His existence!
 
Tunaweza kuthibitisha robot ana engineer aliyemtengeneza. Hili halina mjadala, linathibitishika.

Unataka kulilinganisha hili na mtu kuumbwa na Mungu.

Unaweza kuthibitisha Mungu kamuumba mtu kama engineer alivyomtengeneza robot?

Kama unaweza, thibitisha.

Kama huwezi, utajuaje Mungu huyo yupo kweli?

Unasema we are ignorant, halafu hapo hapo, badala ya kutaka tuondoe ignorance tujue ukweli, unataka tubahatishe mambo kwa kukubali Mungu yupo tu.

Unajuaje Mungu yupo?
 
Nashangaa unaposema Kikwete akipita mitaani huzomewa, hii si kweli kabisa labda uniambie kuwa ndo maombi yenu
Si lazima mitaani mkuu , angalia any public event watu hawapendi a angage na national issues why ?
 
Tokea Uhuru wa Tanzania kama kuna Rais aliyeongoza vibaya na kuharibu kabisa Uchumi wa nchi na kukuza Mmonyoko wa Maadili kwa Watendaji na hata Wananchi huku Kiwango cha Rushwa ( Ufisadi ) ukiongezeka ni Jakaya Mrisho Kikwete.

Huenda nyote mnaompenda na Kumsifia Kutwa Mitandaoni na katika Jamii zetu mnatakiwa mkimbizwe katika Hospitali za wenye matatizo ya Akili ( Wendawazimu ) ili mkapimwe na muanze Tiba ya haraka.

Marais Bora kuwahi kutokea Tanzania ni hawa Wafuatao....

1. Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

2. Hayati Benjamin William Mkapa

3. Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Ambao unaona sijawataja hapa jua hawakuwa Bora au si bora halafu sijui pia ni kwanini walikuwa / wamekuwa Marais.
Naungana na wewe kwa asilimia 💯
 
Tunaweza kuthibitisha robot ana engineer aliyemtengeneza. Hili halina mjadala, linathibitishika.

Unataka kulilinganisha hili na mtu kuumbwa na Mungu.

Unaweza kuthibitisha Mungu kamuumba mtu kama engineer alivyomtengeneza robot?

Kama unaweza, thibitisha.

Kama huwezi, utajuaje Mungu huyo yupo kweli?

Unasema we are ignorant, halafu hapo hapo, badala ya kutaka tuondoe ignorance tujue ukweli, unataka tubahatishe mambo kwa kukubali Mungu yupo tu.

Unajuaje Mungu yupo?

I think you’re still mixing up things. You aren’t a robot. Ask a robot to prove to another robot!

Huondoi ujinga kwa kusema tu kwamba wewe sio mjinga. Wewe kama una ujanja wa kuthibitisha kwamba hakuna Mungu, fanya hivyo. Sio kutuambia Mungu hayupo kwasababu tu huwezi kuthibitisha uwepo wa Mungu.

Mimi nikikosea kwa kukubali kuwa Mungu yupo nitakuwa much better off kuliko niking’ang’ana kwamba Mungu hayupo wakati sina uhakika. No prudent man takes that kind of risk!
 
Ni nadra kupita siku bila kutukanwa huyu mzee, kama sio thread basi comments za wadau.....lkn lazima atukanwe!
Ni nadra kupita siku bila familia ya huyu mzee kutukanwa.
Ni nadra kupita siku bila utawala wake uliopita kudhihakiwa...dhihaka zenye kukera kabisa zingine. Aliyotafanya au kuyaasisi yote anapewa mpendwa wao!
Ni nadra kupita siku bila, zaidi ya mara moja, mtu huyu kutukaniwa watu aliowahi kufanya nao kazi....yaani kama ulifanya kazi na jk humu usipite.......yote yanayowakuta kina makamba na nchemba ni kwakuwa tu walidanya kazi na jk.
Ni nadra kupita siku bila kuendelea kuzushiwa huyu mzee na mambo ya ajabu na mazito kwelikweli......kuzushiwa kuua mtu si jambo dogo! Amechukuliwa mpaka picha yake akiwa ibadan, Mekka, na mkewe na marafiki na kunasibisha na habari zao za kisheitwani walizotunga.
N.K

Wakati hayo yote yakifanyika kwa lengo la kumchafua mbele ya taifa na mataifa na kimataida; asinoge, anuke, asahaulike, apuuzwe n.k., Mungu amesema hapana na huyooo wamemchukua kusimamia uchaguzi muhimu wa Kenya.......mpaka sasa mambo yanaonekana kwenda vizuri.
Yote kwa yote, tuambieni, Bwawa la Nyerere manjaza lini? Crane la tani 26 limefika wapi? Msipojibu hili swali mtaendelea kutukanwa sana na hiyo gesi yenu
 
I think you’re still mixing up things. You aren’t a robot. Ask a robot to prove to another robot!

Huondoi ujinga kwa kusema tu kwamba wewe sio mjinga. Wewe kama una ujanja wa kuthibitisha kwamba hakuna Mungu, fanya hivyo. Sio kutuambia Mungu hayupo kwasababu tu huwezi kuthibitisha uwepo wa Mungu.

Mimi nikikosea kwa kukubali kuwa Mungu yupo nitakuwa much better off kuliko niking’ang’ana kwamba Mungu hayupo wakati sina uhakika. No prudent man takes that kind of risk!
Nikikwambia katika Euclidean planes kuna pembetatu ambayo hapohapo ni duara, utakubali?
 
Even a robot can prove indirectly to the people of thinking on existence of an engineer who made it, it is people who are supposed to know all that due to their intelligence in the same line of thinking one can deduct that men are also created along with other animals etc.--- whatever the name you call Him, Creator must be existing, unfortunately people with poor thinking or rather egos fail to grasp.

Anyone who doesn’t know what (s)he doesn’t know, anaweza kusumbua sana watu. Kimsingi, huyo mtu hana tofauti na mpumbavu!
 
I think you’re still mixing up things. You aren’t a robot. Ask a robot to prove to another robot!

Huondoi ujinga kwa kusema tu kwamba wewe sio mjinga. Wewe kama una ujanja wa kuthibitisha kwamba hakuna Mungu, fanya hivyo. Sio kutuambia Mungu hayupo kwasababu tu huwezi kuthibitisha uwepo wa Mungu.

Mimi nikikosea kwa kukubali kuwa Mungu yupo nitakuwa much better off kuliko niking’ang’ana kwamba Mungu hayupo wakati sina uhakika. No prudent man takes that kind of risk!
On Pascal's wager, read this.

Uko sahihi kabisa mkuu yaani ukikuta mtu anamshambulia Jakaya basi lazima amshambie Mzee Mwinyi vile vile Rais Samia.

Ukiunganisha dots utakuta ni udini tu unawasumbua ambao hautawapeleka popote.

Rais mstaafu Jakaya Kikwete ndiye Rais bora kabisa kuwahi kutokea katika Taifa hili tangu nchi iumbwe.

Ni mstaafu ambaye anaweza kutembea mtaani pasipo ulinzi na asiguswe hata na nzi maana ni mtu wa watu ukiachilia hawa haters wachache wasio na sababu za msingi isipokuwa kunuka udini uchwara.
Wakristo wanataka Nchi waongoze wao miaka yote ingekuwa amri yao,

Dawa yao sasaivi wasipewe nafasi za urais Ni wadini sana
 
Back
Top Bottom