- Thread starter
- #121
Anashangaza sanaUtakuwa hujui lolote, Hivi Kikwete leo kuna mtu mwenye Ushawishi kama yeye? Unaongelea kina Warioba ambao hata Kijijini kwake hawezi itisha mkutano wakaja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anashangaza sanaUtakuwa hujui lolote, Hivi Kikwete leo kuna mtu mwenye Ushawishi kama yeye? Unaongelea kina Warioba ambao hata Kijijini kwake hawezi itisha mkutano wakaja
Wewe wasema, lkn mwenyewe anazidi kupeta .
Wasiokuwa comfortable wanazeeka mapema na wengine wamekufa vibaya vibaya tu
Kwanza kabisa thibitisha Mungu yupo na kuwapo kwake si hadithi za uongo za watu tu.
Failing to prove God exists is not proof that God doesn't exist.Kiranga una utani na Mungu?
Don’t fall for this ignorance fallacy. Failing to prove that God exists is no proof that God doesn’t exist!
Pole, kuna siku utakuja kuwahubiria watu bado nakuombea neema ikushukieKufa kwako kunaonesha Mungu hayupo, Mungu angekuwepo, usingekufa ukatenganishwa na watu wanaokupenda na unaowapenda.
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote atenganishe watu wanaopendana kwa kifo?
Siku gani? Itaje tarehe yake kwa uhakika turudi hapa kuhakiki.Pole, kuna siku utakuja kuwahubiria watu bado nakuombea neema ikushukie
Amina! Amina!!Jakaya kikwete ni mwanadiplomasia mahiri, bingwa wa siasa za Afrika, baba wa demokrasia na mwenye uvumilivu na subra ya hali ya juu. Ni miongoni mwa marais wachache wa Afrika waliowapenda wananchi aliowaongoza. Hakutaka wapate shida, wananchi walikuwa na raha. Muasisi wa miradi mingi ya awamu ya jiwe. Halafu hapendi sifa na ni muungwana sana. God bless president Jakaya Mrisho Kikwete.
Dah, kiongozi!!Siku gani? Itaje tarehe yake kwa uhakika turudi hapa kuhakiki.
Vinginevyo, wewe mzushi tu.
Mpaka sasa hujathibitisha Mungu yupo.
Si mbaya kujaribu kutafuta kauli za kujifariji.....hata kama zitakuwa dhaifu lkn si mbaya!Maisha yasiyokuwa na tija mara nyingi yanakuwa marefu sana. Impactful people live shorter lives, on average!
Ni faraja kusikia hili.....hatumuombei uadui kabisa huyu mwamba!Uko sahihi kabisa mkuu yaani ukikuta mtu anamshambulia Jakaya basi lazima amshambie Mzee Mwinyi vile vile Rais Samia.
Ukiunganisha dots utakuta ni udini tu unawasumbua ambao hautawapeleka popote.
Rais mstaafu Jakaya Kikwete ndiye Rais bora kabisa kuwahi kutokea katika Taifa hili tangu nchi iumbwe.
Ni mstaafu ambaye anaweza kutembea mtaani pasipo ulinzi na asiguswe hata na nzi maana ni mtu wa watu ukiachilia hawa haters wachache wasio na sababu za msingi isipokuwa kunuka udini uchwara.
Ndo hivyo. Hizi habari za "siku moja" bila kutaja tarehe ni abracadabra tu.Dah, kiongozi!!
Aliyekata ringi kizembezembe shetani wenu ushamsahau mara hii hata Eda hujamaliza we MjaneHuyo mwizi wa rasilimali hana muda atakata ringi.
Nikimtizama naona hata ibilisi kamkimbia.
Failing to prove God exists is not proof that God doesn't exist.
But it is not proof that God exists either.
I do not say God does not exists because you can't prove God exists.
I am saying God does not exists because, there is internal contradiction in the concept of the existence of God.
So, how do you know that God exists, and the narrative that God exists is no mere empty story?
Why bobUpo nchi hii kiongozi?!!!
Wajisahaulisha machungu ya kufiwa na Mungumtu wenu kwa kumsema viabaya JK!Hilo jizi kikwete halina hata issue kivile.
Huwa napenda tu kulisimanga kwa sababu najua ameshaumaliza mwendo.
So you Mandela hakuwa na Maisha yenye tija ndo mana aliishi muda mrefu?Maisha yasiyokuwa na tija mara nyingi yanakuwa marefu sana. Impactful people live shorter lives, on average!
Nachukulia hili ni ombi la baraka katika ninayoyafanya, so amiiiina!Aliyepewa kapewa.
Asante NIMEONA KIKWETE kwa article nzuri
Sidhani kama atatokea tena katika hiliSo you Mandela hakuwa na Maisha yenye tija ndo mana aliishi muda mrefu?
Na Hitler alikuwa na maisha yenye tija ndo akafa muda mfupi
Nashangaa unaposema Kikwete akipita mitaani huzomewa, hii si kweli kabisa labda uniambie kuwa ndo maombi yenuWhy bob