Hakika Mungu akishakupangia hakuna wa kupangua! Hongera Jakaya Kikwete

Ni nadra kupita siku bila kutukanwa huyu mzee, kama sio thread basi comments za wadau.....lkn lazima atukanwe!
Ni nadra kupita siku bila familia ya huyu mzee kutukanwa.
Ni nadra kupita siku bila utawala wake uliopita kudhihakiwa...dhihaka zenye kukera kabisa zingine. Aliyotafanya au kuyaasisi yote anapewa mpendwa wao!
Ni nadra kupita siku bila, zaidi ya mara moja, mtu huyu kutukaniwa watu aliowahi kufanya nao kazi....yaani kama ulifanya kazi na jk humu usipite.......yote yanayowakuta kina makamba na nchemba ni kwakuwa tu walidanya kazi na jk.
Ni nadra kupita siku bila kuendelea kuzushiwa huyu mzee na mambo ya ajabu na mazito kwelikweli......kuzushiwa kuua mtu si jambo dogo! Amechukuliwa mpaka picha yake akiwa ibadan, Mekka, na mkewe na marafiki na kunasibisha na habari zao za kisheitwani walizotunga.
N.K

Wakati hayo yote yakifanyika kwa lengo la kumchafua mbele ya taifa na mataifa na kimataida; asinoge, anuke, asahaulike, apuuzwe n.k., Mungu amesema hapana na huyooo wamemchukua kusimamia uchaguzi muhimu wa Kenya.......mpaka sasa mambo yanaonekana kwenda vizuri.

Jifunze tofauti iliyopo kati ya kusimamia uchaguzi na kuangalia uchaguzi!
 
Hilo jizi halina jipya. Linasubiri kufa tu baada ya kumtumikia ibilisi kwa uaminifu.

Use your energy to do something useful and stop praising this dead corpse.
Jizi lilishakufa siku nyingi linaozeana tu huko Chato wakati JK tabasam lake km kijana.
Chuki zinakuzeesha kabla ya wakati, yaani ukisimama wewe na JK unaonekama wewe ndo mzee.
Hata yule sherani wenu alikufa kwa chuki zake pia zilichangia
 
Hamna cha the hate hapo. Mimi ni msema kweli tu. Simchukii ila namdharau.

Huo ndio ukweli. Hana jipya huyo, mwendo ameumaliza. Hata uso wake tu unaonesha kashaumaliza mwendo.

Na kibaya zaidi hawezi kuwa na uzee wenye heshma kama ule wa sampuli wa Nyerere.

Ameshajiingiza kwenye MAGENGE YA UHALIFU na matakataka ya ajabu ajabu.

He is really doomed. I can't see any future for him.
Kaumalizi mwendo!
We ndo chizi kweli kweli.
JK sio level za kina Magufuli.
 
Hamna cha the hate hapo. Mimi ni msema kweli tu. Simchukii ila namdharau.

Huo ndio ukweli. Hana jipya huyo, mwendo ameumaliza. Hata uso wake tu unaonesha kashaumaliza mwendo.

Na kibaya zaidi hawezi kuwa na uzee wenye heshma kama ule wa sampuli wa Nyerere.

Ameshajiingiza kwenye MAGENGE YA UHALIFU na matakataka ya ajabu ajabu.

He is really doomed. I can't see any future for him.
Wakati wewe unamchukia wenzako huko duniani wanaijua thamani yake na chuki zako hazimpunguzii chochote bali wajizeesha tu
 
Viongozi waliopo na wajao sina uhakika kama wanajifunza lolote. Hebu just imagine mzee Mwinyi , wakuu wa majeshi wastaafu, mzee warioba unaweza ongeza wa kwako , wanavyo enjoy ustaafu wao. They are just happy na wana public acceptance wanaweza wakatokea popote wakagonga cheers na wananchi wa kawaida kabisa , why mzee kikwete anazomewa kila mahala? Hayuko comfortable na public ? Hii ni changamoto kwa viongozi wajao na wa sasa ku win public share ama ku engage dubious deals na kukosa public acceptance .mtu unakataliwa hadi unauharibia uzao wako. Shame .
Wewe wasema, lkn mwenyewe anazidi kupeta .
Wasiokuwa comfortable wanazeeka mapema na wengine wamekufa vibaya vibaya tu
 
Tokea Uhuru wa Tanzania kama kuna Rais aliyeongoza vibaya na kuharibu kabisa Uchumi wa nchi na kukuza Mmonyoko wa Maadili kwa Watendaji na hata Wananchi huku Kiwango cha Rushwa ( Ufisadi ) ukiongezeka ni Jakaya Mrisho Kikwete.

Huenda nyote mnaompenda na Kumsifia Kutwa Mitandaoni na katika Jamii zetu mnatakiwa mkimbizwe katika Hospitali za wenye matatizo ya Akili ( Wendawazimu ) ili mkapimwe na muanze Tiba ya haraka.

Marais Bora kuwahi kutokea Tanzania ni hawa Wafuatao....

1. Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

2. Hayati Benjamin William Mkapa

3. Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Ambao unaona sijawataja hapa jua hawakuwa Bora au si bora halafu sijui pia ni kwanini walikuwa / wamekuwa Marais.
Sema tu kwako wewe marais ni Wakatoliki.
Ndo mana Mungu kawaua wote mapema kabisa.
 
Tokea Uhuru wa Tanzania kama kuna Rais aliyeongoza vibaya na kuharibu kabisa Uchumi wa nchi na kukuza Mmonyoko wa Maadili kwa Watendaji na hata Wananchi huku Kiwango cha Rushwa ( Ufisadi ) ukiongezeka ni Jakaya Mrisho Kikwete.

Huenda nyote mnaompenda na Kumsifia Kutwa Mitandaoni na katika Jamii zetu mnatakiwa mkimbizwe katika Hospitali za wenye matatizo ya Akili ( Wendawazimu ) ili mkapimwe na muanze Tiba ya haraka.

Marais Bora kuwahi kutokea Tanzania ni hawa Wafuatao....

1. Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

2. Hayati Benjamin William Mkapa

3. Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Ambao unaona sijawataja hapa jua hawakuwa Bora au si bora halafu sijui pia ni kwanini walikuwa / wamekuwa Marais.
Udini tu ndo unaokutesa na mana masheitani wako wamekufa mapema tena vifo vya kimasikini kabisa badala ya kufa kishujaa
 
..Ningempongeza JK kama angesimama kidete kuwatetea Watz dhidi ya yule dhalimu.

..JK alikuwa wapi wakati chaguzi za hapa Tanzania za mwaka 2019 na 2020 zikivurugwa?

..Zaidi, kwanini alimruhusu Jecha kuharibu na kufuta uchaguzi wa Zanzibar wa mwaka 2015?

Umesema kweli kabisa, mtu yuko hapa nyumbani chaguzi chafu zinafanyika yeye akiwa madarakani, na akiwa ametoka kisha anachaguliwa kwenda kusimamia uchaguzi wa nchi nyingine?!

Pamoja na demokrasia kubwa waliyonayo Kenya, nimewadharau kwa wao kukubali mtu kama JK kwenda kusimamia uchaguzi wao. Hiyo inaonesha kuwa Afrika tuna uhaba wa watu waadilifu hadi akina JK ndio wanaonekana wanafaa kusimamia uchaguzi.
 
Naamin, hon JK Kikwete utawala wake uilkuwa wenye matumain kwa Watanzania wengi! Mungu azid kuumbariki
 
Ni nadra kupita siku bila kutukanwa huyu mzee, kama sio thread basi comments za wadau.....lkn lazima atukanwe!
Ni nadra kupita siku bila familia ya huyu mzee kutukanwa.
Ni nadra kupita siku bila utawala wake uliopita kudhihakiwa...dhihaka zenye kukera kabisa zingine. Aliyotafanya au kuyaasisi yote anapewa mpendwa wao!
Ni nadra kupita siku bila, zaidi ya mara moja, mtu huyu kutukaniwa watu aliowahi kufanya nao kazi....yaani kama ulifanya kazi na jk humu usipite.......yote yanayowakuta kina makamba na nchemba ni kwakuwa tu walidanya kazi na jk.
Ni nadra kupita siku bila kuendelea kuzushiwa huyu mzee na mambo ya ajabu na mazito kwelikweli......kuzushiwa kuua mtu si jambo dogo! Amechukuliwa mpaka picha yake akiwa ibadan, Mekka, na mkewe na marafiki na kunasibisha na habari zao za kisheitwani walizotunga.
N.K

Wakati hayo yote yakifanyika kwa lengo la kumchafua mbele ya taifa na mataifa na kimataida; asinoge, anuke, asahaulike, apuuzwe n.k., Mungu amesema hapana na huyooo wamemchukua kusimamia uchaguzi muhimu wa Kenya.......mpaka sasa mambo yanaonekana kwenda vizuri.
Kusimamia!!???
Yeye sio muangalizi!!???
 
Una maswali magumu siwezi kuyajibu, lakini Mimi naamini hadi kufa Kwangu Mungu yupo.
Kufa kwako kunaonesha Mungu hayupo, Mungu angekuwepo, usingekufa ukatenganishwa na watu wanaokupenda na unaowapenda.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote atenganishe watu wanaopendana kwa kifo?
 
Hamna cha the hate hapo. Mimi ni msema kweli tu. Simchukii ila namdharau.

Huo ndio ukweli. Hana jipya huyo, mwendo ameumaliza. Hata uso wake tu unaonesha kashaumaliza mwendo.

Na kibaya zaidi hawezi kuwa na uzee wenye heshma kama ule wa sampuli wa Nyerere.

Ameshajiingiza kwenye MAGENGE YA UHALIFU na matakataka ya ajabu ajabu.

He is really doomed. I can't see any future for him.
Unataka uone Future gani Kwa Mtu aliyekuwa Rais wa Nchi. Ww ndio unatakiwa kupambania Future yako.
 
Ni nadra kupita siku bila kutukanwa huyu mzee, kama sio thread basi comments za wadau.....lkn lazima atukanwe!
Ni nadra kupita siku bila familia ya huyu mzee kutukanwa.
Ni nadra kupita siku bila utawala wake uliopita kudhihakiwa...dhihaka zenye kukera kabisa zingine. Aliyotafanya au kuyaasisi yote anapewa mpendwa wao!
Ni nadra kupita siku bila, zaidi ya mara moja, mtu huyu kutukaniwa watu aliowahi kufanya nao kazi....yaani kama ulifanya kazi na jk humu usipite.......yote yanayowakuta kina makamba na nchemba ni kwakuwa tu walidanya kazi na jk.
Ni nadra kupita siku bila kuendelea kuzushiwa huyu mzee na mambo ya ajabu na mazito kwelikweli......kuzushiwa kuua mtu si jambo dogo! Amechukuliwa mpaka picha yake akiwa ibadan, Mekka, na mkewe na marafiki na kunasibisha na habari zao za kisheitwani walizotunga.
N.K

Wakati hayo yote yakifanyika kwa lengo la kumchafua mbele ya taifa na mataifa na kimataida; asinoge, anuke, asahaulike, apuuzwe n.k., Mungu amesema hapana na huyooo wamemchukua kusimamia uchaguzi muhimu wa Kenya.......mpaka sasa mambo yanaonekana kwenda vizuri.
Acha upumbavu sio kusimamia, ni muangalizi tu tena wasio na meno, eti "ona uchaguzi unavyoenda vizuri",chawa kazini.
 
Ni nadra kupita siku bila kutukanwa huyu mzee, kama sio thread basi comments za wadau.....lkn lazima atukanwe!
Ni nadra kupita siku bila familia ya huyu mzee kutukanwa.
Ni nadra kupita siku bila utawala wake uliopita kudhihakiwa...dhihaka zenye kukera kabisa zingine. Aliyotafanya au kuyaasisi yote anapewa mpendwa wao!
Ni nadra kupita siku bila, zaidi ya mara moja, mtu huyu kutukaniwa watu aliowahi kufanya nao kazi....yaani kama ulifanya kazi na jk humu usipite.......yote yanayowakuta kina makamba na nchemba ni kwakuwa tu walidanya kazi na jk.
Ni nadra kupita siku bila kuendelea kuzushiwa huyu mzee na mambo ya ajabu na mazito kwelikweli......kuzushiwa kuua mtu si jambo dogo! Amechukuliwa mpaka picha yake akiwa ibadan, Mekka, na mkewe na marafiki na kunasibisha na habari zao za kisheitwani walizotunga.
N.K

Wakati hayo yote yakifanyika kwa lengo la kumchafua mbele ya taifa na mataifa na kimataida; asinoge, anuke, asahaulike, apuuzwe n.k., Mungu amesema hapana na huyooo wamemchukua kusimamia uchaguzi muhimu wa Kenya.......mpaka sasa mambo yanaonekana kwenda vizuri.
JK ni miongoni mwa wasanii bora kuwahi kutokea Tanzania
 
Back
Top Bottom