Hakika Mungu akishakupangia hakuna wa kupangua! Hongera Jakaya Kikwete

Hakika Mungu akishakupangia hakuna wa kupangua! Hongera Jakaya Kikwete

muacheni JK ale zake bata zake.
Usichukulie mambo serious sana duniani hapa ukaenda speed.
 
JK ni miongoni mwa hazina zilizo baki katika bara la Afrika.
Hivyo ni hazina yetu ni hazina kwa majurani zetu na Afrika kwa ujumla wake.
Mungu aendelee kumpa afya njema na amlinde na maadui.
 
Viongozi waliopo na wajao sina uhakika kama wanajifunza lolote. Hebu just imagine mzee Mwinyi , wakuu wa majeshi wastaafu, mzee warioba unaweza ongeza wa kwako , wanavyo enjoy ustaafu wao. They are just happy na wana public acceptance wanaweza wakatokea popote wakagonga cheers na wananchi wa kawaida kabisa , why mzee kikwete anazomewa kila mahala? Hayuko comfortable na public ? Hii ni changamoto kwa viongozi wajao na wa sasa ku win public share ama ku engage dubious deals na kukosa public acceptance .mtu unakataliwa hadi unauharibia uzao wako. Shame .
Utakuwa hujui lolote, Hivi Kikwete leo kuna mtu mwenye Ushawishi kama yeye? Unaongelea kina Warioba ambao hata Kijijini kwake hawezi itisha mkutano wakaja
 
Kwanza kabisa thibitisha Mungu yupo na kuwapo kwake si hadithi za uongo za watu tu.
Hivi uwepo wa Dunia hii, na kutokujuwa iliumbwaumbwaje, na pamoja na uwepo wako wewe mwenyewe na huwezi kuelezea ulikujakujaje hapa Duniani, ni kielelezo tosha kuwa yupo Mungu mtenda miujiza!🙏
 
Kitu kizuri pekee alichofanya Kikwete ni kusimamia uchaguzi ndani ya ccm kwa haki tukapata jembe Magufuli (rip). Ni hicho tu, mambo mengi ni zero kabisa. Namheshimu tu kwa kuwa aliwahi kuwa rais wa JMT, na ni utamaduni wangu kuwaheshimu marais, lakini utendaji wake na ukafie huko mbali.

..hakutenda haki kukata jina la Lowassa.
 
Hamna cha the hate hapo. Mimi ni msema kweli tu. Simchukii ila namdharau.

Huo ndio ukweli. Hana jipya huyo, mwendo ameumaliza. Hata uso wake tu unaonesha kashaumaliza mwendo.

Na kibaya zaidi hawezi kuwa na uzee wenye heshma kama ule wa sampuli wa Nyerere.

Ameshajiingiza kwenye MAGENGE YA UHALIFU na matakataka ya ajabu ajabu.

He is really doomed. I can't see any future for him.
Haya ni maoni yako, Hakuna ambaye ataishi milele. Hata akifa leo haina maana kuwa uyasemayo ni sahihi kwa kila mtanzania, kuna wengi wanamuombea maisha marefu JK......
 
Hapa tunauliza watu wa Kenya watafanya nini kesho tarehe tisa August. Hatuulizi Kikwete atafanya nini kesho.
Kama yakitokea matatizo katika Uchaguzi kama ambavyo yanatokea mara nyingi Kenya ,hapo ndio Kikwete na wale waangalizi wengine watakuwa na kazi ya kufanya.
Kwa hiyo hayo maneno yako unayosema,:'Kiko wapi,Mbona Kikwete anaongoza Uchaguzi vizuri Kenya"? Maneno hayo hata Kikwete hayawezi kumfurahisha.
 
Ni nadra kupita siku bila kutukanwa huyu mzee, kama sio thread basi comments za wadau.....lkn lazima atukanwe!
Ni nadra kupita siku bila familia ya huyu mzee kutukanwa.
Ni nadra kupita siku bila utawala wake uliopita kudhihakiwa...dhihaka zenye kukera kabisa zingine. Aliyotafanya au kuyaasisi yote anapewa mpendwa wao!
Ni nadra kupita siku bila, zaidi ya mara moja, mtu huyu kutukaniwa watu aliowahi kufanya nao kazi....yaani kama ulifanya kazi na jk humu usipite.......yote yanayowakuta kina makamba na nchemba ni kwakuwa tu walidanya kazi na jk.
Ni nadra kupita siku bila kuendelea kuzushiwa huyu mzee na mambo ya ajabu na mazito kwelikweli......kuzushiwa kuua mtu si jambo dogo! Amechukuliwa mpaka picha yake akiwa ibadan, Mekka, na mkewe na marafiki na kunasibisha na habari zao za kisheitwani walizotunga.
N.K

Wakati hayo yote yakifanyika kwa lengo la kumchafua mbele ya taifa na mataifa na kimataida; asinoge, anuke, asahaulike, apuuzwe n.k., Mungu amesema hapana na huyooo wamemchukua kusimamia uchaguzi muhimu wa Kenya.......mpaka sasa mambo yanaonekana kwenda vizuri.
Mungu mnamsingizia vitu vingi!
 
Ulijuaje ni hadithi za watu, Thibitisha kuwa hao waleta hadithi ni watu

Thibitisha neno watu lilitoka wapi?

Thibitisha hao watu waleta hadithi walitoka wapi?

Thibitisha hao waleta hadithi walitumia mikono au miguu kuandika?

Thibitisha kama wewe una akili?

Na ulichoandika hapa JF unaweza thibitisha kuwa ni kweli au ni story za uwongo ambazo wewe ulisimuliwa na hao watu ambao hujui wametoka wapi?

Thibitisha hizo herufi unazoandika ni za nani? Na kwanini Unaandika vitu ambavyo watu ambao huwafahamu walianzisha?

Mkuu wewe ni mpumbavu wa hapa JF, Huna hoja yeyote ya msingi

Unasoma vitabu vya watu ambao wewe mwenyewe hujui wametoka wapi? na mwisho wao ni wapi?

Nani atakuamini wewe ambae hatujui una akili?

Je wewe una akili?
Nimekutaka uthibitishe Mungu yupo.

Umezunguka sana lakini hujathibitisha Mungu yupo.
 
Ni nadra kupita siku bila kutukanwa huyu mzee, kama sio thread basi comments za wadau.....lkn lazima atukanwe!
Ni nadra kupita siku bila familia ya huyu mzee kutukanwa.
Ni nadra kupita siku bila utawala wake uliopita kudhihakiwa...dhihaka zenye kukera kabisa zingine. Aliyotafanya au kuyaasisi yote anapewa mpendwa wao!
Ni nadra kupita siku bila, zaidi ya mara moja, mtu huyu kutukaniwa watu aliowahi kufanya nao kazi....yaani kama ulifanya kazi na jk humu usipite.......yote yanayowakuta kina makamba na nchemba ni kwakuwa tu walidanya kazi na jk.
Ni nadra kupita siku bila kuendelea kuzushiwa huyu mzee na mambo ya ajabu na mazito kwelikweli......kuzushiwa kuua mtu si jambo dogo! Amechukuliwa mpaka picha yake akiwa ibadan, Mekka, na mkewe na marafiki na kunasibisha na habari zao za kisheitwani walizotunga.
N.K

Wakati hayo yote yakifanyika kwa lengo la kumchafua mbele ya taifa na mataifa na kimataida; asinoge, anuke, asahaulike, apuuzwe n.k., Mungu amesema hapana na huyooo wamemchukua kusimamia uchaguzi muhimu wa Kenya.......mpaka sasa mambo yanaonekana kwenda vizuri.
Umbona unasema uongo? Nani kakwambia anasimamia uchaguzi?
 
Hivi uwepo wa Dunia hii, na kutokujuwa iliumbwaumbwaje, na pamoja na uwepo wako wewe mwenyewe na huwezi kuelezea ulikujakujaje hapa Duniani, ni kielelezo tosha kuwa yupo Mungu mtenda miujiza!🙏
Hapana.

Katika logic, umefanya kosa moja linaitwa fallacy ya "argument from ignorance".

Yani unaweka hoja kwamba, kwa kuwa hujui dunia imeumbwaje, basi lazima imeumbwa na Mungu.

Kama hujui dunia imeumbwaje, hilo linamaanisha hujui dunia imeumbwaje.

Hilo halimaanishi dunia imeumbwa na Mungu.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Wewe kutojua dunia imeumbwaje si uthibitisho kwamba Mungu yupo.
 
Mkuu unahangaika bure,
Hawa wenzetu wao wanajua wazuri ni wa kwanza wa tatu na wa tano basi, hao wengine ni wabovu, wakiambiwa wathibitishe wanaleta story za vijiweni sasa kama sio udini ni nini?
Akili kichwani mwako,
Jamaa ni wadini kupita maelezo
Mkapa ndiye rais mwasisi wa ufisadi na uchafu wote baada ya kufanikiwa kumuua nyerere

Hapa hawasemi watu Ila ukweli mkapa ndio alileta tatizo kwenye taifa letu.

Ushenzi wote na upuuzi wote ni Mkapa
 
Mkapa ndiye rais mwasisi wa ufisadi na uchafu wote baada ya kufanikiwa kumuua nyerere

Hapa hawasemi watu Ila ukweli mkapa ndio alileta tatizo kwenye taifa letu.

Ushenzi wote na upuuzi wote ni Mkapa
Fafanua hii mkuu!.
 
Hamna cha the hate hapo. Mimi ni msema kweli tu. Simchukii ila namdharau.

Huo ndio ukweli. Hana jipya huyo, mwendo ameumaliza. Hata uso wake tu unaonesha kashaumaliza mwendo.

Na kibaya zaidi hawezi kuwa na uzee wenye heshma kama ule wa sampuli wa Nyerere.

Ameshajiingiza kwenye MAGENGE YA UHALIFU na matakataka ya ajabu ajabu.

He is really doomed. I can't see any future for him.
Unaweza shangaa unakufa wewe unamwacha anadunda.

Ha ha ha ha

Hii dunia ina visa sana
 
Back
Top Bottom